saiditawani
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 369
- 252
Mapovu ha ha ha ha ha ha ha ha!!!! Umenichekesha sana.Daaah wamemrudisha tena baby shose rumande mweeeh
Mapovu ha ha ha ha ha ha ha ha!!!! Umenichekesha sana.Daaah wamemrudisha tena baby shose rumande mweeeh
Si unaona washtakiwa wanavyoonyesha dharau.....Khaa! Mkuu kabla kesi haijakwisha
Wa Tanzania mna roho ya wivu sana yaani hapo shida yenu wao waende jela baasi,Sasa wewe utafaidika nini?pesa zako,?au ni roho inakuuma tu kwa umaskini ulionao??Acheni roho za ajabu .
Watanzania bana watu wamefanya udanganyifu wamechukuwa dola milioni 6 wala wewe ili huoni kama tatizo unakimbilia kumpa lawama rais kuwa ana chuki.Magufuli ni mtu wa chuki na visasi,huwezi kuendesha nchi kwa chuki,visasi na hasira..za ajabu..ajabu.
Sasa magufuli hana utani, ila kale kadada wangekaachia jamani mweeeeeeeee yaani kazuri mnooooo
Jela bado hao wapo mahabusu wakiishavaliswa magwanda ndiyo wanaingia jela.
Usisema hakuna tofauti ya jela na mahabusu tofauti ipi kubwa tu.Jf watu wengine mnanipa hofu kwa uelewa wenu mdogo wa baadhi ya vitu half bila aibu unachangia tu. Iko hivi, hakuna tofauti kati ya jela na mahabusu. Ila kuna tofauti kati ya mfungwa na mahabusu.
Mfungwa keshahukumiwa na anakua jela akitumikia kifungo, huyu mle gerezani huvaa uniform maalum za gereza , hula chakula cha gereza ,hufanya kazi zote atakazopangiwa na maofisa wa gereza na anaeza hata hamishwa gereza moja kwenda jingine. Pia huyu hana access ya kwenda kutembelewa na ndugu.
MAHABUSU. Huyu wanakaa gereza moja na mfungwa, ila yeye atavaa kiraia kadri awezavyo, ndugu watampelekea chakula kila weekend na public holidays, ndugu waeza mwekea bill ya kuletea chakula toka nje kila siku, sheria yamtaka hata kama upelelezi wa kesi yake haujakamilika kila baada ya siku 14 aende mahakaman na kusomewa shtaka.
NDOO. Gerezani ndoo ndio kila kitu, twaeza sema ni zaidi ya trunker boarding school. Ndoo ndio kabati la diary ya mtuhumiwa, nguo, bakuli, ped kwa wanawake na vikoro koro vingne vinavyoruhusiwa kwa mahabusu kua navyo. Pia wakt mwingne mahabusu huzitumia kama viti vya kukalia mchana wawapo nje.
Jf watu wengine mnanipa hofu kwa uelewa wenu mdogo wa baadhi ya vitu half bila aibu unachangia tu. Iko hivi, hakuna tofauti kati ya jela na mahabusu. Ila kuna tofauti kati ya mfungwa na mahabusu.
Mfungwa keshahukumiwa na anakua jela akitumikia kifungo, huyu mle gerezani huvaa uniform maalum za gereza , hula chakula cha gereza ,hufanya kazi zote atakazopangiwa na maofisa wa gereza na anaeza hata hamishwa gereza moja kwenda jingine. Pia huyu hana access ya kwenda kutembelewa na ndugu.
MAHABUSU. Huyu wanakaa gereza moja na mfungwa, ila yeye atavaa kiraia kadri awezavyo, ndugu watampelekea chakula kila weekend na public holidays, ndugu waeza mwekea bill ya kuletea chakula toka nje kila siku, sheria yamtaka hata kama upelelezi wa kesi yake haujakamilika kila baada ya siku 14 aende mahakaman na kusomewa shtaka.
NDOO. Gerezani ndoo ndio kila kitu, twaeza sema ni zaidi ya trunker boarding school. Ndoo ndio kabati la diary ya mtuhumiwa, nguo, bakuli, ped kwa wanawake na vikoro koro vingne vinavyoruhusiwa kwa mahabusu kua navyo. Pia wakt mwingne mahabusu huzitumia kama viti vya kukalia mchana wawapo nje.
Akinipa papuchi nitakubaliHahaha mkwepa kodi vipi ukiambiwa uende lumsnde kwa niaba ya huyo dada utakuwa tayari.
taratibu kidogokidogo tukiwapeleka wote kwa pamoja tutakosa majaji wa kupeleka kesi kwa ufanisiKwahiyo Ni hao tu Tanzania nzima??au mmewaona wanyonge hawana magamba wezi wa pesa nchi hii hawafungwi.
Kenya wanakatiba mpya mbona ndio wanaongoza kwa ufisadiNi dalili nzuri iko siku Mkuu wa nchi mstaafu atabeba ndoo. Lkn kwanza tunahitaji katiba mpya.