Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,716
53,898
Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.

jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana.
Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi.

Una jiita best dad, akati uli kataa mtoto na kumtelekeza aka teseke na mama yake halafu una fungua mdomo Eti I hate single moms(mzee hii dhambi ita ku hunt aidha kwa kujua au kuto kujua).

na wewe binti USI hisi niko hapa kutetea uzuzu wa mtu, ehh naongea na wewe bingwa wa kuchanua mapaja, kisa Ume ambiwa uta olewa au kupendwa sana.

ehh we si una jiona gold diggers a.k.a bingwa wa kutoa mimba, IPO siku ita nasa, halafu haita toka, na sijui uki mzaa uta mtupa huyo mtoto ka yule mwingine?

Ina sikitisha mnoo, watoto Hawa Wana ndoto ka hao wanao ulio nao Sasa.

Usha waza Ile saa mwanao au wanao Wana lala kwenye godoro la 5*6,
halafu Kuna wale watoto kula tu mtihani??, ndo Hawa wanao vizia waibe hapo kwako, Afu uta sema wezi wabaya big no ni matokeo ya ujinga wako tu.

aisee we better wake up Kama jamii, wajibika uki shindwa tumia Kinga, kihurumie kizazi kijacho.

I mean no malice to nobody

FB_IMG_17139753140645963.jpg

FB_IMG_17139752477828869.jpg
 
mostly wanaume ni kukwepa tu majukumu ya kua baba ambayo mtu hakuyatarajia wakat wanajua fika walitiana kavu na matokeo ndio mimba shida nyingine ukute mama alisingizia baba wawili mtoto mwisho wa siku kizungumkuti kamzozo

hamsikiagi mkiambiwa tulia na mtu mmoja tu ni kuepusha wazimu kama huu
 
Hizi dini pia zinachangia,

Mabint wanafundishwa kuzikataa condom, vijana wanaelekezwa kutokumwagia nje.

Huwez mwambia mtu asitumie Kinga na asimwage nje wkt mtu mwnyw anajijua kbs he's not committed to marriage. yaani "Hapa nasuuza rungu TU"

Matokeo yake Ni single mothers pamoja na watoto wa mitaani.
 
Na Sasa mabint wa mjini wamejijulia ka mchezo ka kugeuza watoto Kama Chanzo Cha mapato kwa kuforce kuzaa na Watu maarufu au wenye nafuu ya maisha.

Bint anajua kbs jamaa keshaoa,hanipendi ila anaforce aloweke ishike mimba tu, afu mengine atajua mbele ya Safari.

Baada ya mimba zinaanza sarakasi kukimbilia ustawi wa jamii for child support, akitegemea kukamua maziwa.

Kule akikutana na rungu la "kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto 1977" anagundua kumbe alibugi, ndo Yale anatelekeza Mtoto na kuendelea kudanga Tena akajaribu bahat yake kwingine.

Yaan TULIOZAA WATOTO WA KIKE, MUNGU TU ATUSAIDIE😢
 
Of course, ndiyo maana Kuna njia za kujilinda na ujauzito ikiwemo Matumizi ya Kondomu Kwa sisi Wanaume

Ni dhambi kumpa mimba Mwanamke na usimhudumie

Mimi nitafanya dhambi nyingine zote lakini sio hii ambayo inabeba hatima ya damu yangu
Aisee Kama na wengine wange kuwa na mtazamo huu, basi tunge okoa kizazi kinacho teketea mtaani.

Afu ukute ana jua kabiSa, au ndo kamkataa ili kulinda ndoa au mahusiano yake mapya
 
Hamna kitu inauma ujijute unalea Bao la mwanaume mwenzako
mostly wanaume ni kukwepa tu majukumu ya kua baba ambayo mtu hakuyatarajia wakat wanajua fika walitiana kavu na matokeo ndio mimba shida nyingine ukute mama alisingizia baba wawili mtoto mwisho wa siku kizungumkuti kamzozo

hamsikiagi mkiambiwa tulia na mtu mmoja tu ni kuepusha wazimu kama huu
 
Back
Top Bottom