Be carefull at your peak, life isn't a nintendo game

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,771
54,061
Maisha ni safari ndefu, kila mmoja ana namna au njia ambayo huitumia kufika aendako.

Ila katika maisha haya, kila mmoja ana wakati ambao hukiri kuwa Kuna kitu kime mkubali.
👉Waswahili Wana sema kupatia, aidha iwe kazi, masomo, michezo, ndoa na hata biashara.

Katika nyakati hizo uta jiona wewe ndo wewe, bingwa wa mabingwa, Hakuna mfikiriaji anae kuzidi.
👉Basi hapo ndo kosa linapo anzia, una Anza kukosa umakini katika baadhi ya mambo.

Kwa kuona kwamba Umesha Toboa, so there is nothing else to loose.
👉 Hapa ndo starehe za ajabu kwa wengi, kupungua kwa nidhamu katika Mambo ya mlengwa.

Nidhamu inayo semewa hapa sio shikamoo, bali utimamu stahili katika kila Jambo lako.
👉Sio ulikuwa una fungua duka lako saa 12, ghafla una Anza kuweka mfanyakazi- huku wewe uki shinda nyumbani kuangalia kina ottoman bey.

Una mke au mume, ila ndo kwanza una ji introduce kwa magagulo ya mjini.
👉Ita ku cost wewe na familia yako.

At your top omba amani na utulivu, ili uweze kuona makosa na mazuri yako.
👉Kwani uki teleza kidogo tu, unaeza usi pate chance nyingine kwa wakati sahihi.

I mean no malice to nobody.
FB_IMG_17057829606792712.jpg
 
Back
Top Bottom