Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.

jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana.
Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi.

Una jiita best dad, akati uli kataa mtoto na kumtelekeza aka teseke na mama yake halafu una fungua mdomo Eti I hate single moms(mzee hii dhambi ita ku hunt aidha kwa kujua au kuto kujua).

na wewe binti USI hisi niko hapa kutetea uzuzu wa mtu, ehh naongea na wewe bingwa wa kuchanua mapaja, kisa Ume ambiwa uta olewa au kupendwa sana.

ehh we si una jiona gold diggers a.k.a bingwa wa kutoa mimba, IPO siku ita nasa, halafu haita toka, na sijui uki mzaa uta mtupa huyo mtoto ka yule mwingine?

Ina sikitisha mnoo, watoto Hawa Wana ndoto ka hao wanao ulio nao Sasa.

Usha waza Ile saa mwanao au wanao Wana lala kwenye godoro la 5*6,
halafu Kuna wale watoto kula tu mtihani??, ndo Hawa wanao vizia waibe hapo kwako, Afu uta sema wezi wabaya big no ni matokeo ya ujinga wako tu.

aisee we better wake up Kama jamii, wajibika uki shindwa tumia Kinga, kihurumie kizazi kijacho.

I mean no malice to nobody

View attachment 2972996
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom