Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 962
- 2,220
Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu
Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka kumficha kijijini
Hizi tabia kwa upande wangu naona kama za kibinafsi sana; yaani kama Baba ana uwezo wa kumtunza mwanae Bora hata umuachie akakae na Bibi mzaa Baba (maana mwanaume anauwezo wa kutoa matunzo ingalikuwa wewe mwanamke imekushinda)