Sheffer95
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 219
- 569
Nimebaki najiuliza ni kama watanzania tumepumbazwa au tumeridhika na kukamilika kwa kipande cha kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma
Mimi ningependa kujua hivi kipande cha sgr kutoka dodoma mpaka singida ujenzi wake umefikia asilimia ngapi?,lini kina kamilika?
Na kwanini unakuta muda mwingi kipande cha Isaka mpaka Mwanza kinazungumziwa kuwa kinakaribia kukamilika wakati hichi kiunganishi cha muhimu hakizungumziwi