Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,582
- 11,456
Makutupora ni Dodoma, Ila Manyoni ni Singida.Kama unamaanisha Makotopola tayari kilishakamilika. SGR haindi hadi Singida mjini bali inapita Makotopola na Manyoni. Kituo kikubwa cha Singida nafikiri ni hicho cha Makotopola.