Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,405
- 5,237
save one picture like we cautch borris the animal
save one picture like we cautch borris the animal
Nielekeze tuje tuangalie wote.Vinapitaga hapa mida ya saa Moja 30' Hadi saa mbili Kila siku.
Kimoja kina mwanga kina ulingo kuzungukia.
Kingine kinafanana na stelite kina Kingo kama ngazi za helicopter.
View attachment 2946234View attachment 2946232View attachment 2946233
Mie mtu mzima kwa sasa usipojiheshimu na block vichaa kama weweBebi, ukitoka Mirembe ukuje geto...😋
Ndio maana nakupenda laivu....🤣Mie mtu mzima kwa sasa usipojiheshimu na block vichaa kama wewe
SawaNdio maana nakupenda laivu....🤣
Mzee wa hovyo weweAtalindwa na Yesu...
Saa Moja usiku angalai upande wa baharini kama upo darNielekeze tuje tuangalie wote.
Kila siku ya muumba vinapita..nimevizoea Mimi ikabidi niulize..kwani nyie dar wote hamvioni ama mnapuuzia?Hapa wapi? Yaani hatujui ni wapi kinapita ila unataka kujua tu
Ebu jibu PM kwanza..😋Mzee wa hovyo wewe
Mkuu Quruani inasemaje kuhusu Aliens?Wachina hao
Ukiuliza wahusika watakuambia ni nyota
Mi nalindwa na Yesu...kalinde mkeoEbu jibu PM kwanza..
Neno Dabbah limetumika kwenye Quran kama viumbeMkuu Quruani inasemaje kuhusu Aliens?
Imefafanuliwa kwenye Kurani kuwa wanafanaje au wanatumia pumzi ya hewa gani na Tabia zao Je hao wao ni Dini gani?Neno Dabbah limetumika kwenye Quran kama viumbe
Mwenyezi Mungu ameumba kila kitu na sisi ni viumbe tunaoishi ardhini na wapo viumbe wanaoishi mbinguni na hao sio majini na malaika tu bali viumbe wengine
Kwa hiyo jibu ni ndio kuna viumbe wengine
Haijafafanuliwa kihivyo mkuu bali inasema kuna viumbe na Mungu ndio anajua zaidiImefafanuliwa kwenye Kurani kuwa wanafanaje au wanatumia pumzi ya hewa gani na Tabia zao Je hao wao ni Dini gani?
Vitakiwa huwa vinaenda Zenjiba hiviUsawa wa bahari ya Hindi..dar
Mi naka mbali na bahari ila naviona sababu kibaraza kinaangalia usawa huo
So lazima Kila siku viibuke.vinatemebea taratibu vinazamia mashariki kule kunakoibuka jua asubuhi