Hiki ni nini? Kinapitaga hapa mida ya saa Moja 30' Hadi saa mbili Kila siku

Mkuu Quruani inasemaje kuhusu Aliens?
Neno Dabbah limetumika kwenye Quran kama viumbe

Mwenyezi Mungu ameumba kila kitu na sisi ni viumbe tunaoishi ardhini na wapo viumbe wanaoishi mbinguni na hao sio majini na malaika tu bali viumbe wengine

Kwa hiyo jibu ni ndio kuna viumbe wengine
 
Imefafanuliwa kwenye Kurani kuwa wanafanaje au wanatumia pumzi ya hewa gani na Tabia zao Je hao wao ni Dini gani?
 
Imefafanuliwa kwenye Kurani kuwa wanafanaje au wanatumia pumzi ya hewa gani na Tabia zao Je hao wao ni Dini gani?
Haijafafanuliwa kihivyo mkuu bali inasema kuna viumbe na Mungu ndio anajua zaidi
Jiongezee knowledge boss
Ngoja ntasoma zaidi
 
Usawa wa bahari ya Hindi..dar
Mi naka mbali na bahari ila naviona sababu kibaraza kinaangalia usawa huo
So lazima Kila siku viibuke.vinatemebea taratibu vinazamia mashariki kule kunakoibuka jua asubuhi
Vitakiwa huwa vinaenda Zenjiba hivi
 
Back
Top Bottom