Hiki ni nini? Kinapitaga hapa mida ya saa Moja 30' Hadi saa mbili Kila siku

Unaweza kudhani dunia ina amani kwa sababu ardhini hakuna majeshi yanapambana, vita kubwa iko angani, na haitumii ndege, na huwezi iona kwa macho, ukishinda anga, umeshinda vita.

Kuna hacking, local and international spying and every dirty games
 
Teknolojia na harakati za mwanadamu zimekua nyingi, kuna vitu vingi juu ya ardhi angani na hata kwenye bahari na vyote ni kazi na harakati za mwanadamu.
Kwa ukubwa wa teknolojia kila taifa hakuna kitakachopita kwenye anga lake bila ya vyombo vya ulinzi na usalama visiweze kuvifahamu.

Kuwa na amani mleta mada.
 
1711576885784.png
 
Back
Top Bottom