Swardolf102
Member
- Apr 6, 2024
- 23
- 7
Weeee nimefanikiwa🤗🤗
Umewezaje mkuu, tupe mbinu, maana mm kuappload cuver letter inasumbua, kila siku tena najarb katika nyakat tofaut tofauti, inafail kwa comments tofaut tofautnimemaliza leo mida ya saa10 alfajiri tena account mbili na ya mtu mwingine
Wacha dharau! Hivi kama wote wangesema hivyo hawa Polisi tungewatoa wapi?Tuwe serious,hivi unaanzaje kuwa polisi
🤣🤣🤣Wacha dharau! Hivi kama wote wangesema hivyo hawa Polisi tungewatoa wapi?
Lol!.Don't take this serious,humu kuna kufurahishanaWacha dharau! Hivi kama wote wangesema hivyo hawa Polisi tungewatoa wapi?
Umewezaje mkuu, tupe mbinu, maana mm kuappload cuver letter inasumbua,
Fanya hivi:
https://ajira2.tpf.go.tz/listjobs
Mkuu eb naomba Tuwasiliane private kwa information zaid, nitumie text nikupigieDakika chache zilizopita nimekamilisha application ya mtu.
Fanya hivi:
1. Angalia file yako ina ukubwa gani?, Hakikisha ukumbwa wa attachment ni mdogo kadri iwezekanavyo, Ni vyema isizidi 200KB
-1.1 Iwapo file ni kubwa, Punguza ukubwa wa pdf kwa ku upload kwanza hapa:
View attachment 2993550
- 1.2 Ukisha chagua file husika , chagua hii optio: Extreme Compression.
View attachment 2993551
- 1.3 Then utapata pdf yenye ukubwa uziozidi 200kb
2. Rudi kwenye page ya application:View attachment 2993552Code:https://ajira2.tpf.go.tz/listjobs
- Chagua nafasi husika, na utaweza upload na kukamilisha maombi bila tatizo.
3. Hakiki na utaona huu ujumbe
View attachment 2993554
Edit /futa hiyo namba, Tayari Nimekujibu PMMkuu eb naomba Tuwasiliane private kwa information zaid,
zingatia sizeUmewezaje mkuu, tupe mbinu, maana mm kuappload cuver letter inasumbua, kila siku tena najarb katika nyakat tofaut tofauti, inafail kwa comments tofaut tofaut
🤪🤪🤪Vijana mnataka kulinda hela zetu bank
Mbona ni kitu kimoja umeandika mkuuNilichokifanya kwenye
Hakionekan kwenye
Hili jambo limekaaje?