Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 64,144
- 89,976
Lil Romeo?… that’s your famous American celebrity?… 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Wale wa maandamano Nanenane mmefikia wapi?
Kukujulisha tu, bei ya land Nairobi iko juu sana, maradufu ya huko kwenu. For example, one acre of land in upper Hill goes for uptown KSH 300 million. Tell me anywhere in Dar an acre of land fetches that much. Nevertheless, people still buy land and develop homes. Ushaambiwa baadhi ya mitaa ambayo watu hununua ardhi na kujenga nyumba zao. Wacha nikuongezee zingine:Can I have land pricing ya hapo nilipobold? make sure lipo NBO
Tafadhali na pia kumbuka tunaongelea general population affordability and choice.
Huo uswazi unaouona ni nyumba za style of 80s walishindwa kuzimaintain I can show you they can be turned to something wakiamua.
View attachment 3064289
Can you notice walivyoongeza na kubalance juu kua Contemporary?
View attachment 3064291
That's the reality yes nakubali kuna maeneo mipango miji ilifanya makosa makubwa kuruhusu ujenzi holela.
The thing is mnavyobrag kuwa EA powerhouse tulitegemea hadi Mkenya wa chini awe na what you bragging. Ila kuona nyumba ya Bati ni nyumba asee,
If you say mkenya anaweza buy ardhi weka pricing tuone sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi kwa slums akiwa na uwezo.
But mnafahamika kuwa na slums in the world (which imeharibu your bragging mpaka tuone mnatupiga kamba).
🤣🤣🤣 hivi bado anaperform huyu?Lil Romeo?… that’s your famous American celebrity?… 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
He rode on his dad’s fame .. he’s now a regular guy in the United States …but his dad (Master P ) is very famous and a respected 90s superstar from New Orleans…I still own his albums🤣🤣🤣 hivi bado anaperform huyu?
Tunawaambia Wakunya kutangulia si kufika!
View: https://x.com/Hellomediacomp/status/1821483848984649813
VS
View: https://youtu.be/94U5K68mnCE?si=TWH0PUWolNjSBjkZ
Teargas, NairobiWalker n mwathadan
Wacha a nurse wounds.😂😂NairobiWalker jamaa wako fukara alienda kabisa amekataa kurudi😂🤣😂. Ulimroast bado anaugua maumivu😂😂
Kijana kafunga domo la Noah Lyles
Wacha upumbavu Dar kuna land parcels zaidi ya hiyo price!Kukujulisha tu, bei ya land Nairobi iko juu sana, maradufu ya huko kwenu. For example, one acre of land in upper Hill goes for uptown KSH 300 million. Tell me anywhere in Dar an acre of land fetches that much. Nevertheless, people still buy land and develop homes. Ushaambiwa baadhi ya mitaa ambayo watu hununua ardhi na kujenga nyumba zao. Wacha nikuongezee zingine:
Ruai, Joska, Kamulu. All in Eastlands. These are not even high-end places. You can do a simple Google search about houses in these places.
About uswazi, you have no defence here. Your statement would make sense if only a small section of Dar has uswazi but here is a case where more than a half of your city landscape is dotted by those sprawling houses some of you have christened dream houses.
We are not bragging about being EA powerhouse. Nyinyi ndio hamjawahikukubaliana na huo ukweli so you always play victim whenever this subject is brought up.
Tunakubali kuwa na slums. Sisi sio kama nyue who excell in denial. What you forget is that not everyone can be blessed to be able to afford land in big cities. If that's the case, Dar haingekuwa na hizo uswazi zilizojaa jijj lenu coz that's an epitome of poverty.
It's even stupid to ask if a Kenyan can afford to buy land. Hizi ardhi zinauzwa in different places in Kenya ni Watanzania wanazinunua?