Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Historia ya Kiswahili nimeikariri Sana humu watu bado hawaielewi. Msikizeni Mtanzania mwenzenu Sasa.


View: https://vm.tiktok.com/ZMMgpfvSa/

Wewe kima, mimi binafsi nimekaa darani nikasoma kiswahili, wewe kima na ukoo wako wote hakuna atakaeniweza mimi ima kwa kujua historia ya lugha au kuongea vizuri. Nastaajabu sana mkenya mpumbavu kama wewe unajinasibu kumiliki kiswahili ilihali kuongea kiswahili kizuri hujui, punguani wewe, kibera walker.
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Mmeanza kutuogopa!!?

Screenshot_20240428-105145~2.png
 
Huyo governor utakuta ni msomi na ana PhD kutoka UoN sijuia elimu ya Hawa inawasaidia vipi kama msomi anaweza tumia Tenga kuchotea maji duu!!!!!
Wakundustan huwa wanazingatia kuongea English tu, ukiweza kuongea enough English Kunyaland unabeba nchi hata uwadanganye ulisoma Cambridge University lakini upo mathare kwenye mbavu za mbwa ila una English yako nzuri na accent hakuna wa kukubabaisha
 
Pump ya kuvuta maji Hawana kundurenda ni mufilisi
Wakundustan huwa wanazingatia kuongea English tu, ukiweza kuongea enough English Kunyaland unabeba nchi hata uwadanganye ulisoma Cambridge University lakini upo mathare kwenye mbavu za mbwa ila una English yako nzuri na accent hakuna wa kukubabaisha
 
I scored plain A in Kiswahili. What did you Score in your Kiswahili exam?
Hujui chochote kuhusu kiswahili we kima, kiswahili mnafundishwa huko kwenu ni basic tu, kama sisi tunavyojifunza kiingereza. Mimi nimekaa darasani kusoma kiswahili kuanzia chekechea hadi Advance. Kiswahili mnajifunza huko kwenyu ni kile hata mtoto wa darasa la saba Tz mwenye ako vizuri anaeeza score A form four exam hapo Kenya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom