Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna tofauti kati ya Proposed, Approved na Under Construction....hio unasema in 2014 ilkua tu Proposed na renders zake zilikua tayari...ujenzi wake umeanza 2016 rasmi ila 2014 ilkua proposed.....mfano kuna buildings proposed Nairobi ila bado hazijakuwa approved...for example these two buildings here...they are proposed...construction bado hazijaanza ila tayari kuna renders...
the-one-nairobi.jpg

tIq7zyg.jpg

B6p9xBG.jpg
Wow thanks alot bro for renders :D:D
Pitia sehem yoyote unywe kinywaji baridi nitalipa mm
I real love renders[/QUOTE]


sawa ntakunywa ila nami pia nina request moja kwako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom