Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

57e3a0df9c56ca353e7e994b7fac34a1.jpg
e748adb9e4c7be54dcfdec488225a5dd.jpg

teofilo kisanji Dar
 
Wewe kama umeishiwa sema tu hebu check chuo cha bandari ndio utaanza kujicheka.
Nilikwambia kabla niishiwe juu ya colleges and University Nairobi, wewe utakuwa umebwaga za Dar, Tanga, Dodoma, Mwanza, Moshi na hata mbeya kama kunazo!!

Hivi sasa, Kadoda ameriquest tu rejelee sekta ya Mlo, Starehe na kadhalika(Hotels, Clubs, etc) Sijui kama uko tayari?
 
Si rahisi kupata kitu nairobi na ukikose dar es salaam (i've been in both cities na naishi dar sasa hivi) labda mlinganishe uzuri au ubora otherwise mnapoteza muda wenu na hamtakaa mfikie makubaliano
 
Mpuuzi ww!! Hupajui Dar es saalam institute of Maritime Technology ?
hawezi kupajua hapo mkuu.msamehe bure.

kwanza nairobi hawana bahari,hata hilo neno "maritime" kwa kijana wa nairobi anaweza asielewe lina tumika ktk muktadha gani.wana ushamba mwingi sana na masuala yanayohusu bahari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom