Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maybe Alaska 007 can cry to the moderator to ban CAF for this heinous act…. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_6151.jpeg
 
Mwendokasi ni jibu tosha la aina ya serikali tulionayo. They don't care.
Ni chawaa pekee ( mkazi wa Dar es Salaam anayetumia BRT anaweza sema mitano tena)

Wew panda mwendokasi halafu sema "ila hii serikali" Nina uhakika kila abiria atasema yake jinsi ule usafiri ulivyo mateso
Na kibaya zaidi serikali inajibu uongo, itaongeza mabasi mwaka wa pili sasa. Hakuna hata bus moja. Mwezi huu msigwa alisema wataleta mabasi ( wako kimya). Hawataki kuruhusu watu hata binafsi wawekeze.
Sijui ni wakubwa gan hao wa mwendokasi hawaguswi? Wala hawatetereki
Na hapo Mama amekopa zaidi ya trilion 35! na hana jipya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom