Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Capital City of Africa

6470946
 
Kisirani ni wewe kilaza wa Tandale. Even if I do the conversion, it still beats you by far.

If the figures in dollars inazidi yenu ya dollars so what makes you think the conversation will make any difference? Wewe ni dwanzi sana by the way!!
Conversation? We nyumbu kalale au tafuta hata ukoko ule 😂😂😂
 
Uyo kaweka tena gtc ya mchina, yani 24/7 hakuna mradi mpya zaidi ya gtc na expressway vyote vya mchina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
And just for the records, miradi mipya yamejaa but we rarely post them.

This is Altura Towers in Upper Hill, 30 floors
53332446042_c0e4ec0600_b.jpg
IMG_20231103_083529.jpg
IMG_9683.jpeg
53384767487_2385f45871_b.jpg
images - 2024-01-05T221424.599.jpeg

This one is 1870 West Towers in Westlands. A twin tower of 30 floors each
images - 2024-01-05T222050.621.jpeg
IMG20231109152152.jpg
IMG20231109152114.jpg

88Nairobi. 44 floors and the tallest residential building in East and Central Africa
IMG_9768.jpeg

And many more. Show me any building under construction above 30 floors in Dar is slum ndio tuanze kuongea about new projects as you imply above
 
Attachments

  • images - 2024-01-05T221523.600.jpeg
    images - 2024-01-05T221523.600.jpeg
    64.2 KB · Views: 3
And just for the records, miradi mipya yamejaa but we rarely post them.

This is Altura Towers in Upper Hill, 30 floorsView attachment 2863009View attachment 2863010View attachment 2863011View attachment 2863012View attachment 2863015

This one is 1870 West Towers in Westlands. A twin tower of 30 floors eachView attachment 2863021View attachment 2863023View attachment 2863024

88Nairobi. 44 floors and the tallest residential building in East and Central AfricaView attachment 2863025

And many more. Show me any building under construction above 30 floors in Dar is slum ndio tuanze kuongea about new projects as you imply above
Kwa hiyo hayo majengo ndio miradi?😁
 
Kwa kweli ni vichekesho 😅😅😅😅😅
 
Kaumia!! 😂😂
Jiulize ni kwa nini huyo mchina alichagua Nairobi kawacha Jiji la uswazi Dar
Kwa sababu Bongo tupo tofauti kidogo kuanzia suala zima la ardhi, mpaka sera ya Umiliki wa vitu vya umma.

Unataka mchina ajenge Expressway kwa 550m alafu atulipishe tuielewe Serikali?

Na kipindi hicho Tulikua na Serikali (JPM).

Kwamba JPM asaini ujinga wa 550m utakaotumika baadae kufanya mambo magumu kwa wananchi?

Kitu ambacho serikali iko na uwezo hata wa kuzijenga hizo express way 10 na Uchumi uwe vile vile kama hakojatokea kitu na Serikali yetu haiangalii DAR tu inaaangalia NCHI NZIMA sio kama nyie NAIROBI.

Kwa sera yetu ni ngumu kwa hayo mavitu kufanikiwa maana unakua huna hakimiliki kamili, juu ya ardhi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom