Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,661
- 1,599
😁Huyo chalii ya R iwekeze kwenye kilimo cha karanga na mihogo kwa matumizi ya nyumbani.
😁Huyo chalii ya R iwekeze kwenye kilimo cha karanga na mihogo kwa matumizi ya nyumbani.
UNajua nimekulia wapi nimesomea wapi nanimeishije na sasa hivi ninamaisha gani so usinifananishe na maisha ya malaya zako wanayoishi nausiniwekee nuksi katika maisha yangu . Nikomee kabisa kawazoee hao malaya zako umbeya hata matajiri wanao , unafiki wanao usinirukie rukie mie nashida zakoHuyu sweetycandy anaonekana ni wale wanawake waliokulia familia za uswekeni huko, zile familia ambazo hazina mpangilio wala utaratibu maalumu wa kuishi zina uhuru usiokuwa na mipaka ambapo binti anaweza asilale nyumbani siku mbili bila kutoa taarifa na asiulizwe, familia ambazo zimajawa na uswahili swahili na kufuatilia mambo ya ajabu ajabu.
Sasa mwanamke aliyekulia familia kama hii akiolewa kwenye familia ya kishua ambayo kila kitu kiko katika mpangilio maalumu ataona kama yuko utumwani, maana haimpi ule uhuru jinga aliokuwa ameuzoea wa kufuatilia mambo ya kipuuzi kama umbeya kwa majirani na kuzurura zurura ovyo kwa mashost.
Kitendo cha kuishi kwa kufuata utaratibu fulani wakati huo mahitaji yote ya msingi anapata ataona kama ni utumwa na unyanyapaa.
mwanamke kama huyu hawezi kuwa na jicho la kuona fursa za kiuchumi katika hali kama hiyo maana ameshazoea maisha ya kimaskini maskini uko uswekeni na anatakiwa aolewe na maskini mwenzie ambaye naye anaishi maisha ya kiswahili swahili na yasioleweka kama yeye hili ajione ni mwenye furaha
Unajua wabongo wengi huwa wanataka uwafikishie ujumbe pasipo kuweka manjonjo yoyote ndio watakuelewa.Asante sana Muhimbu kwa kuweka points clear,asiyekuwlewa hataelewa ka mwe
Amavamu umaskini wa mtu unaanza na mindset aliyonayo, na mazingira aliyokulia au anayokuwepo muda mwingi ndio yanayoshape mindset yake..!!Bila kuuhusisha ulilosema na mleta mada, nakuunga mkono kuwa umasikini unaendana na kuzurura na kutokuwa na ratiba.
Ni sawa mkuu.Amavamu umaskini wa mtu unaanza na mindset aliyonayo, na mazingira aliyokulia au anayokuwepo muda mwingi ndio yanayoshape mindset yake..!!
Sasa kwa mtu aliyekulia mazingira ya kuzurura zurura ovyo na kutumia muda mwingi wake kufuatilia mambo yasiokuwa na faida kama umbeya n.k... hata ikitokea ukampeleka mazingira mapya yenye nyenzo zote za kiuchumi hawezi kujikomboa, sababu mindset ya kimaskini aliyonayo itakuwa ina mlimit kuona na kutumia fursa zilizopo.
Hapo awali niliandika comment yangu based on assumptions ambazo zilikuwa derived kutoka kwenye comment yako ya awali.. ila sasa kwa hii comment yako ya sasa hivi ndio ume confirm kabisa nilichokiandika kuhusu wewe kwenye comment iliyopita ni sahihi kwa 100%.UNajua nimekulia wapi nimesomea wapi nanimeishije na sasa hivi ninamaisha gani so usinifananishe na maisha ya malaya zako wanayoishi nausiniwekee nuksi katika maisha yangu . Nikomee kabisa kawazoee hao malaya zako umbeya hata matajiri wanao , unafiki wanao usinirukie rukie mie nashida zako
Usije ukawa kama yule msanii mmama aliyewahi kusema yeye amezaa lakini wengine wamekuny@@@Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.
Choo mlangoni wameweka gunia au khanga
Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.
Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.
Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.
Mliooa familia duni poleni ,mliozaliwa familia duni pia poleni,mlaumu mama yako kuolewa na fukara.
Break the chain.
usioe wala kuolewa na lofa
Hakuna upungufu wa nguvu za kiume ni kukosa hela.
Hakuna mwanamke mwenye kiuno kigumu au kukosa utelezi ni madeni ya viccoba yanawakata stimu
View attachment 3054607
AhaaaUnajua wabongo wengi huwa wanataka uwafikishie ujumbe pasipo kuweka manjonjo yoyote ndio watakuelewa.
Mfano ukiwaambia "ukilala bila kuweka neti sehemu zenye mbu wengi utaugua malaria na hatimae unaweza ukafa"... watakuelewa.
Ila ukiwaambia "mkilala bila kuweka neti na hawa mbu mtakufa na malaria mbwa nyie".... yaani hapo hawatakuelewa kabisa kama kuna ujumbe umewafikishia na badala yake wataona umewatukana.
Hunaga akili ndio tatizo na wenye akili wanajijua tu asante kwa muda wakoHapo awali niliandika comment yangu based on assumptions ambazo zilikuwa derived kutoka kwenye comment yako ya awali.. ila sasa kwa hii comment yako ya sasa hivi ndio ume confirm kabisa nilichokiandika kuhusu wewe kwenye comment iliyopita ni sahihi kwa 100%.
Yaani ulivyojibu kwa mihemko na shombo ni dhairi kabisa wewe ni mwanamke uliyekulia uswekeni huko uswahilini ndani ndani huko ambako hata shule mkisoma sana mnaishia form two.
Mwanamke aliyelelewa katika makuzi sahihi kwenye mazingira salama yenye utulivu hawezi kuwa kama wewe... hawezi kuwa na mdomo mchafu kama choo cha stend hivi.
No wonder ulivyopelekwa kwenye mazingira ya watu waliostaharibika kwa akili zako za kiswahili swahili ulizotokanazo huko uswekeni kwenu ulijiona kma uko utumwani.
Unajua hata wale walipo mirembe huwa wanawaona madatari wanaowatibu ndio wagonjwa?Hunaga akili ndio tatizo na wenye akili wanajijua tu asante kwa muda wako
Nimeshaclose discussion nawewe sihitaji gundu na mikosi plzUnajua hata wale walipo mirembe huwa wanawaona madatari wanaowatibu ndio wagonjwa?
Unajua hata chizi ukitaka kumlaza kwenye chumba kizuri chenye hewa safi mtagombana na atakuona una mtesa maana yeye ameshazoea kula na kulala majalalani kwenye harufu kali ya kinyesi na uchafu wa kila aina.
Sasa ndio ninachokiona kwako, unajiona mwenye akili kumbe kiazi tu mmoja tu na pia ulipata mtu wa kukutoa huko kwenu uswekeni na kukupeleka kwenye mazingira salama yenye fursa, ila wewe kutokana na kuzoea maisha ya maskini ambayo yamekufabaza akili ukaona kama vile anakupeleka utumwani na ndio maana nakufananisha na chizi aliyezoea kula majalalani siku ukimpeleka five stars hotel ataona una mtesa na unaenda kumlisha sumu.
Wasalimie waswahili wenzio huko uswekeni kwenu ambapo unapaona ni paradise.Nimeshaclose discussion nawewe sihitaji gundu na mikosi plz
Amuulize aliye kuwa mume wa Fatma Karume a.k.a shangazi.Kwani mtoto wa raisi ndo mke mwema?