mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,029
- 49,221
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.
Choo mlangoni wameweka gunia au khanga
Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.
Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.
Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.
Mliooa familia duni poleni ,mliozaliwa familia duni pia poleni,mlaumu mama yako kuolewa na fukara.
Break the chain.
usioe wala kuolewa na lofa
Hakuna upungufu wa nguvu za kiume ni kukosa hela.
Hakuna mwanamke mwenye kiuno kigumu au kukosa utelezi ni madeni ya viccoba yanawakata stimu