za kiume

  1. N'yadikwa

    Kama una shida ya nguvu za kiume fanya hivi

    Sasa hivi ni msimu wa mapera. Kula mapera manne angalau kila siku. Halafu njoo hapa utoe ushuhuda. Facts: 1. Vitamin C – Husaidia kuongeza uzalishaji wa shahawa na kuzuia uharibifu wa seli kwa sababu ya oksideni nyingi (oxidative stress). Pera lina vitamins C mara nne zaidi ya chungwa. 2...
  2. Dr Luu

    KWA MWENYE TATIZO LA NGUVU ZA KIUME FURSA

    Habari, Mimi ni tabibu wa tiba asili nimefanya hii kazi kwa miaka 7 bàada yakufundishwa na baba Toka nikiwa ndogo nikaamua kujiendeleza kielimu ili nifanye hii kazi kwa weledi zaidi. Sasa nimekua nikitoa huuduma hii kwa weledi wa Hali ya juu sana nimewatibu watu wengi wakiwemo wanajamvi wenzangu...
  3. M

    Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

    Iko hivi! Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa. Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo...
  4. Pdidy

    Kwa Nini nguvu za kiume wanaziita "Umeme"makanisani

    Umewahi kujiulixa hili Makanisa mengi ya kiroho wakianza kuombea watu Kama ULIKUWA HUJUI hili kama ukisikia neno "umeme " nguvu za kiumeee ama za kike Ukisikia mwenye umeme uliopotea nikujuze nguvu za ....kama una shida hioo kimbilia fasta MBELE ukaombeweee Badoo nawaza Hivi ilikuwaje...
  5. Dalton elijah

    Watano waongezewa nguvu za kiume Hospitali ya Benjamini Mkapa

    Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imesema kati ya asilimia 40 hadi 50 ya wanaume wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, huku wengi wakifika hospitalini hapo kutafuta huduma ya upandikizaji wa uume. Mkurugenzi Mkuu wa BMH, Prof. Mabere Makubi, akizungumza leo Machi 4, 2025 jijini Dodoma...
  6. Candela

    Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

    Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu. Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah, Point zangu ziko hivi. Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
  7. Pang Fung Mi

    Je, matumizi ya Ajinamoto kuongeza Ladha kwenye chakula kuna athari kwenye nguvu za kiume?

    Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa. Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu wanajukwaa hasa wadau wa lishe, afya na chakula karibu kwa ufafanuzi kama hiki kitu kinaathari kwenye...
  8. Dr isaya febu

    Kukomaa Kwa Mbegu Za Kiume.

    Mbegu za kiume hukomaa kupitia mchakato unaoitwa spermatogenesis, ambao hufanyika ndani ya korodani (testes), hasa kwenye sehemu inayojulikana kama seminiferous tubules. Mchakato huu huchukua takribani siku 64 – 74 ili mbegu mpya za kiume zikomae na ziwe tayari kwa urutubishaji. Hatua Za...
  9. Yoda

    Kuna bia za kike na za kiume?

    Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa? Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
  10. PSL god

    Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

    Naam naam naam nimerydi tena wadau Majuzi hapa mwana jf mwenzetu Jordy05 alileta kisa chake cha jinsi iula tunda kimasihara kulivyobadili mustakabali wa maisha yake mazima / forever of course kaongelea mengi sana mule ndani ila point kubwa niliyo note ni kwamba huyu jamaa nguvu zake za kiume ndo...
  11. The unpaid Seller

    Hebu naomba niweke jambo Moja bayana: PUNYETO HAIPUNGUZI NGUVU ZA KIUME

    May all souls find enlightenment, Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko kadhaa pia. Sinywi pombe, sivuti sigara, napenda kula vizuri (starehe yangu nyingine) nafanya...
  12. Dede 01

    Fahamu kuhusu sperm allergy (mzio wa mbegu za kiume)

    Habari wanajamvi! Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana. Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
  13. M

    Natumia uungwana, huna tatizo la nguvu za kiume, ni mwoga.

    Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF? Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au kushindwa kusimamisha kabisa, wawapo faragha. Mimi siyo daktari, ila kuliko kufaidika mwenyewe kimya...
  14. L

    Kukosa nguvu za kiume

    Habari wakuu naomba msaada tafadhari nina kama mwezi mmoja sasa nakosa hamu ya tendo pia jogoo hawiki kabisaa naomba mtu mwenye kujua dawa ya uhakika anisaidie tafadhari hali yangu sio nzuri naona aibu kwa mtubwangu
  15. B

    Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

    Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten. What about u mwanamke? Wewe...
  16. Jackson News

    Zinauzwa Bukta Fupi za kiume na wanauke kwa michezo 2-in-1 kwa Ufukweni na Kukimbia

    Bei: TZS 33,111.39 (Original: TZS 57,089.89, punguzo la 42%) Bonyeza na Nunua Sifa kuu: Muundo wa 2-in-1: Suruali za nje za kukimbia na suruali za ndani za compression kwa msaada wa ziada. Kupumua na Kaukaji Haraka: Huzuia joto na inakaukaji haraka baada ya kuingia maji, hivyo inafaa kwa...
  17. LIKUD

    Wacha niwafundishe dawa bora kabisa ya nguvu za kiume (Dawa namba moja ya nguvu za kiume)

    Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume. Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za kiume yapo hapa Tanzania, na watu wanatibiwa na kupona kabisa. Tatizo la nguvu za kiume linabaki...
  18. Kalaga Baho Nongwa

    Nakupa chimbo la sendols za kiume, kwa wafanyabiashara tu

    Nawasalim kwa jina la jmt Kuna watu wanafanya biashara ya hivi viatu, mikoani, daresalaam, visiwani. Hivi viatu unavipata kwa mchina flani hivi anapatikana Narun'gombe na na Msimbazi pale hoteli ya Hong Kong. Bei zake ni za Katoni (24 pieces) na mizigo yake haikai sana. Kalaga baho.
Back
Top Bottom