Sugu simama uhesabiwe. Huu ukimya wako maana yake ni? Wewe umesaliti Mwenyekiti? Hata wewe? Au umeamua kutumia busara? Muda ni wakati mzuri. Ni wakati wa kusimama kuhesabiwa.
Tunaona watu ambavyo wanamkataa mwenyekiti. Tena inashangaza watu wa CDM ndo leo hii wanampinga Mwamba. Yeye Sugu...
Huyu ni DED wa ajabu kuwahi kutokea
Hutembea na kuku na bata wake hata akipata uhamisho. mbaya zaidi anatumia muda mwingi kuongea kuliko kutenda.
Mara anakwenda na mafailli nyumban nk.
Mara ya mwisho nilikutana naye halmashauri moja iringa hko..
Yupo wapi huyu mwamba/ a typical CCM and...
Huyu mke wa Trump mbona simwoni. Sana kwenye media siku hizi.
Kipindi Trump yupo Rais walikuwa wanapendeza mno wakiwa kwenye lile dege wakitembelea nchi kadhaa.
Lkn Simeon tena yule mama mzuri sijui kamkorofsha nn mzee bepari.
Tumwombe Trump asimsahau kwenye teuzi.
Ninawasalimu wanajukwaa!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
Last time huyu member alikua anasema ana changamoto za kiafya, tumezoea hua anakua active sana ila sa ivi naona kama account yake inakua dormant... Huyu member Yuko wapi
Analyse
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?
Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo...
Katika wachambuzi ambao nilikuwa nao bega kwa bega ni TOM CRUZ,
Huyu jamaa alikuwa yupo vyema sana kwenye habari mpya za kimichezo na burudani. Ila jamaa yupo kimya sana .,
5sep ndio ilikuwa post yake ya mwisho.
Sijui amekufa au kapatwa na nini.
Mwenye kufahamu anijuze pls
Habarini,
Huyu mdada alikuwa ana present 5 selekt na tbway 360, miaka ya 2011, huyu mdada alikuwa na muonekano mzuri kweli, na alikuwa ni tv crush wangu kwa kipindi kile 😍🫢😅she was veeery beautiful, Yani alivyo muonekano wake k.v pisi ya New York USA, kumbe alizaliwa na kukulia dar
Damn time...
Baada ya usajili wa Mussa Kipanya pale Wasafi FM kwenye kipindi Cha Good Morning. Huyu Mwamba simuoni. Napenda kujua yupo wapi Mimi ni mfuasi wa utangazaji wake
Deusdedith Soka
Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.
Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu...
Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.