Xiaomi Redmi Note 11
Storage Gb128/6Gb Ram
Camera ni balaa📸🔥🔥50MP ultra Wide /13MP Selfie
Laini mbili
Battery 🔋 5000MAH (Over 2 days lasting with data usage)
Simu iko clean Vibaya mno imetumika miezi minne, full boxed.
Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
Wapenzi wa magari especially EV na hybrid.
Kampuni la Teknolojia kutoka China, Xiaomi kupitia kitengo cha Xiaomi Auto wamezindua gari jingine, SU7 Ultra, ambayo ni kama muendelezo wa SU7 EV.
Kwa design, hii ni Sport sedan ikiwa na milango minne. Muonekano wake sio mgeni machoni mwetu, wamekua...
Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti
Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta kama ni Redmi kwenye body kava imeandikwa Redmi na kama ni Xiaomi basi imeandikwa Xiaomi
Tofauti na...
Sony,
Lg,
Smart watch za Android…
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Wakuu habari,
Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni...
Xiaomi wameachilia chombo cha Xiaomi 12S Ultra ilipofika July, 09, 2022
Simu hii imeipita uwezo hata Samsung Galaxy S22 Ultra na bado kuna mtu humu nilimsikia anasema eti kwa Android simu ni Samsung na Google Pixel tu wakati hata Google Pixel 7 pro haifui dafu kwa Xiaomi 12S Ultra
Hiyo hapo ju...
hii brand ya xiaomi nimeona imeanza kutrend ukiangalia hii redmi 10c ya gb 128 ina sifa nzuri lakini kwa sisi wadau amabao hatuwajawi kutumia hizi nataka kufahamu ubora wake wa camera
pamoja battery
Kama bango linavyosema
Wajuzi naomba mnifahamishe juu ya hizi simu za xiaomi ambazo ni chinese version, zinasuport huduma za google?
Na je zinautofauti gani mkubwa na zile za global version?
Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika.
Mtu akipiga ina ita kama kawaida (inatia sauti vizuri) ila nkipokea sim sikii kabisa, mpaka niweke loudspeaker hapo...
Nmeona offer ya Hizi simu zikiwa znauzwa maduka ya tigo,na nmevutiwa nazo kweli. sasa hofu yangu ni kwamba zinaweza zikawa locked, yaan line ya Tigo ndo inakua na nguvu tu, japo kuna mdau kaniambia kuna possibility kuwa line zote znafunction bila kikwazo..
Ombi langu ni kwa yeyote ambaye amewahi...
Grab this Offer Now!
Xiaomi Redmi 7
Rom: 32 GB ( store more videos, photos,etc)
Ram : 3 GB
Condition: Used but still in a good condition
Battery: 12 hrs +
Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ
OFFER: 199,000 TZs
CALL: +255 757 700 510
Serious buyers only!
Smartphone for Sale
Grab this Offer Now!
Xiaomi Redmi 7
Rom: 32 GB ( store more videos, photos,etc)
Ram : 3 GB
Condition: Used but still in a good condition
Battery: 12 hrs +
Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ
OFFER: 219,000 TZs
CALL: 0658 700 510
Serious buyers only!
Ndugu,
Hatimae nimefanikiwa kumiliki simu niliyokuwa ninaiota kwa muda, Mi 11 Lite 5G. Ndiyo ninayotumia kutype hapa. Sijaona changamoto zozote za kiutendaji kazi, ipo bomba balaa hasa spidi. Yenyewe ni ile ya RAM 6/128GB storage.
1. Ilibidi nimuagize mtu aliyekuwa anarudi nyumbani kutoka...
Ndugu walevi wa gadget,
Nimeamua kubadili upepo wandugu. Natoka kwa Mkorea kwenda kwa Mchina sasa. Akili yote ipo hapo kwa MI 11 Lite 5G. Tafadhali hii isichanganywe na MI 11 Lite. Hii ninayoitaka ina 5G hapo mwisho. Nimeipenda mashine hii nikiwa na akili timamu na bila ya kushawishiwa na mtu...
Kampuni ya China inayotengeneza vifaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania.
Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
Hi ni kwamujibu wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.