Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??
Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri!
Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
Habari JF , kuna kipindi nliwahi anzisha uzi ambao lengo lake lilikuwa ni kujua ni nani hasa mmiliki wa UTT , nlipata majibu mengi ambayo yalinirodhisha kwa Asilimia kama 70 .
Najua biashara ina risk zake , Voda, UTT kwa kiasi chache Tunawajua wamiliki .
Mabenki iko wazi umiliki wake .
Kwa...
Kwa Wataalamu wa Pikipiki:
Ninatafuta ushauri kuhusu aina au brand bora ya pikipiki kwa kazi za kubeba mizigo kati ya kg 30 hadi 75 kila siku.
Je, ni brand gani kati ya boxer, tvs, hero, honda, hunter na nyingine. Je ipi ni imara na inadumu muda mrefu kwa mazingira ya joto, vumbi, na mvua ya...
Nimeambiwa sasa hivi ni msimu wa korosho hivyo kuna hela sana,
Je vitu gani naweza kupeleka huko tukabadilishana na hela zao
(Bidhaa) nimetamani kwenda ila nimetamani kupata ABC
Inatokea nadate na mwanamke, kwa muda mrefu, au muda mfupi, let's say miezi mitatu, au mwaka. Hapo unakuta manzi ananiimbia, nyimbo za malengo ya ndoa. Hata kama anajua fika kuwa nilimnunua baada ya mitongozo kusua sua. Mwamba naapply pesa. Dau linatiki na hii mbinu haijawah kuniangusha.
Sasa...
1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3: Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Habari za wakati huu wanajulkwaa.
Dhumuni kuu la kushusha uzi huu ni kupata muongozo juu ya biashara ya dhahabu naona ipo juu sana kwa bei kulingana na asilimia(%).
Kwa hapa Buzwagi ndogo Igunga hali so poa kidogo vp huko ulipo uhali gani upepo wa mgodi na je kwa wale wazoefu au wakongwe wa...
Habari za Jumapili wapedwa.
Napenda kuuliza Wazoefu wa safari ya Nairobi kutokea Arusha.
Mimi naitaji kuelekea West Land. Lakini sifahamu chochote. Kwanzia
Nauli ya kwenda na kurudi.
Gharama za hoteli rahisi na sehemu Salama.
Pia chakula na hela nichanci nikiwa navuka kuingia Kenya?
Msaada...
Kwema wakuu kama mnavyojua bado nipo kwenye ziara yangu ya mikoa ya kusini mwa Tanzania. Baada ya Newala na Mtwara na Masasi, ninaelekea Nachingwea nikitokea Masasi.
Naomba watu mnaoijua Nachingwea vizuri mnipe ABC za wilaya ya Nachingwea na vijiji vyake. Mfano wenyeji wa Nachingwea ni kabila...
Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo.
Nataka pia...
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa...
Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa.
Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala rangi.
Nahitaji Fundi wa skiming na rangi kisha Blandering na Gypsum au Ceiling Board.
Naomba...
Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa Kwa duka la vyakula Yaan vitu vya nyumban na mitandao Ya Pesa Frames Location mkoani ,Mtaji 3.5M
Nipate Picha wa mchanganuo wa bidhaa Kwa Mtaji huo wa 3.5M ukiondoa shelfu Zipo,mizani ,meza,kiti na Frizer ziko...
Hello 👋
Natarajia kupata pesa kiasi, fulani sasa nilikuwa natamani kufungua biashara ya car wash.
Napenda nijue ni eneo gani kwa Dar litafaa kwa car wash, na je, eneo hilo linakodishwa bei gani kwa mwezi? Pia vijana wa car wash wanalipwa bei gani kwa mwezi? Na vifaa vitanigharimu bei gani au...
Huyu mwanamke tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka. Katika kipindi hicho alikuwa anaishi kwao. Wakati tunaanza mahusiano alinieleza kuwa tayari ana mtoto wa kiume. Na kwasababu pia Mimi nilishapata Mtoto huko nyuma sikuona tatizo. Huyo mwanaye baba yake yupo na maisha yake mengine safi...
Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila.
Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya.
Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.