wajuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Kwa wajuzi wa weledi na maadili ya Uandishi wa Habari, je Al Jazeera ni Chambo cha Habari cha Kimataifa kinachokidhi vigezo?

    Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
  2. enzo1988

    Kwa wale wajuzi wa Diplomasia, naomba msaada kwenye hili

    Napenda kufahamu tofauti kati ya official state visit na official visit, nimeshangaa kusikia karibu miaka 15 imepita ndiyo Ruto anakuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kufanyiwa official state visit huko USA! === 1. Kenyan President William Ruto will become the first African leader in more...
  3. Expensive life

    Nimepata dili la kupeleka korosho India kilo 500, wajuzi nipeni ujanja

    Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla? Tax itakuwa bei gani? Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli. Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
  4. sinaham

    Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

    Mimi si mshabiki wa mno Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya. Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano. Ni kama hizo. H Kwa mfano Bailey ammkomalia...
  5. Cheology

    Nguli ndalichako amekosea wapi?

    Nguli ndalichako amekosea wapi. Maana kapigwa chini kimasihara Maana sio bure
  6. Mama Edina

    Naomba ujuzi Jinsi ya kumlea mwanangu wa kike

    Kama somo linavyojibabadua Masahihisho Naomba kujua namna bora kumlea mwanangu
  7. K

    Mtumishi wa umma akipata uhamisho wa muda anastahili kulipwa nini!?

    Wakuu kama nilivyoeleza,,mtumishi wa Umma akipata uhamisho wa muda kwenda kufanya kazi sehemu flani atastahili kupata malipo ya namna gani!? Ikipendeza niwekee na waraka au sheria inayoongoza malipo hayo.
  8. Crocodiletooth

    Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  9. B

    Mke wangu ananiweka njia panda

    Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda kabisa aisee Hivi inakuaje mke wako anamtumia picha zake mwanaume mwingine? Hata akiwa kaka yake...
  10. W

    Wajuzi wa mambo, hivi kwanini Biden bado ni rais wa USA pamoja na maboko yake yote?

    1. Mara kadhaa ameshaanguka tu hadharani. 2. Kusahau sahau anachotaka kusema. 3. Kumtukana, "What a stupid son of a bitch", mwandishi aliyemuuliza swali khhusu inflation.....huku kipaza sauti kikuwa on (alisahau kukizima). 4. Kupotea njia...n.k Sasa nachukulia ukubwa wa USA, kiranja wa...
  11. M

    Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni...
  12. M

    WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3. Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
  13. K

    Wajuzi nishaurini, nataka kujiunga na Jeshi la Magereza

    Wakuu habari za muda? Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo; - Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi. - Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi...
  14. IBRA wa PILI

    Wajuzi wa Mambo tujuzane hii

    Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0 Alafu Nika nunua tena flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0 Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya (adapter ,flash drive na memory card) nayo hii iliandkwa usb 3.0 Sasa nataka kujua utofauti wake ni nini? Kati ya...
  15. enzo1988

    Wajuzi wa lugha ya kiingereza!

    Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania! Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza nongwa! Hatari sana hii!
  16. kitonsa

    Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

    Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani? Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia? Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
  17. D

    Muliro kuongezewa muda kazini baada ya kustaafu akitenda kosa atashtakiwa kama raia au askari?

    Naam waungwana, hebu mnisaidie labda na wengine pia. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro alistaafu rasmi mwaka jana. Kwamba siyo askari kiongozi tena. Akaongezwa miaka miwili. Swali langu. Je, akitoa amri kwa sasa na amri hiyo ikaleta madhara kwa umma au askari...
  18. M

    Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    Nimekuja na hii maada ili watu wapate kujua historia ya Mitume wa Mwenyezi Mungu, inchi walizozaliwa na walikuwa wangapi, Hapa tunazungumzia Mitume wa Mwenyezi Mungu, siyo wanafunzi wa mitume,Mtume ni yule aliyechaguliwa na Mungu peke, ambaye hata riziki yake anayokula hutoka kwa Mungu...
  19. W

    Kofia ndogo wanazovaa Wayahudi huwa zina maana gani?

    Nawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi. Ina maana gani kuwa vidogo vile?
Back
Top Bottom