WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara ya Kilimo... Wasikilize kwenye hii link wakulima
Wiki hii Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, alihutubia wajumbe wapya wa Bodi ya Chai inayoongozwa na Banker Abdulmajid Mussa Nsekela.
Katika hotuba yake, Waziri Bashe alimwelekeza mwekezaji na mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji, kushirikiana na Bodi hiyo kwa lengo la kufanikisha...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB),akizisisitiza Halmashauri kuhakikisha kuwa tozo zinazowekwa kwenya zao la Parachichi haziwakandamizi wakulima.
Bashe ameeleza hayo katika Mkutano Mkuu wa Parachichi uliofanyika hivi karibuni wa wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo wakiwemo wakulima...
Copy and paste
Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao.
Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira ya wayahudi (wana wa Israel), taswira ya uchapa kazi na ushujaa dhidi ya mafisadi, kwa wakati huo wa...
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.
Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili.
Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu.
Na Mwandishi wetu
Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amempongeza Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kwa kuendelea kuonyesha uzalendo katika kuendeleza sekta ya Kilimo.
Waziri Bashe ameeleza hayo wakati akizungumza na Wananchi wa kata ya Ushetu akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Shinyanga ambapo...
Salaam, shalom!!
Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri,
Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali...
Habari za wakati huu wanajamiiforum?
Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini.
Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli?
Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina...
Hili sakata wakati nasoma uzi humu kwa mara ya kwanza nilikuwa sijalielewa lilivyo. Nikasema acha nizame U-tube kujua likovipi ndio nikapata kuelewa mwanzo, kati na mwisho ulivyo hebu twende pamoja kwa ambaye hajaelewa kama mimi kwa Lugha nyepesi
Iko hivi waziri wa kilimo wakati anawasilisha...
Katika kosa kubwa ulolifanya siku ya Leo 18/6/2024, ni ku Overlook nini hasa kiini kilicholifikisha Taifa hili Mahali hapa .
Umetumia muda mwingi sana Toka tarehe 14/6/2024, kutafuta ni wapi na kanuni gani Mpina kavunja !!.
Kwa Namna ulivyowasilisha suala hili la MPINA, umetumia Muda mwingi...
Salaam, Shalom!!
Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili?
Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania?
Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya...
MAELEZO MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKIWASILISHA USHAHIDI WA VIELELEZO KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON (MB) KUHUSU WAZIRI WA KILIMO MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI LEO TAREHE 14 JUNI 2024.
MHE...
Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kwani Tanzania ina hazina ya mchele.
Hata hivyo, muda si mrefu...
Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha.
Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare interest' ,Sina mahusiano ya aina yoyote na NGO iliyoleta mchele wa msaada wenye virutubisho kutoka...
Bashe ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya uhaba wa Sukari kumalizika kabla ya Mfungo wa Ramadhan
=====
Salaam Ndugu Zangu,
Ningependa kutoa ufafanuzi wa kauli yangu iliyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari wakati wa maswali na majibu kwenye mkutano na wahariri uliofanyika Ikulu, Dar es...
Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninayo haki na wajibu wa kukutana na kiongozi wangu yeyote na kubadilishana naye mawazo ili kujenge nchi yetu kwa pamoja.
Mimi nimebehetika kukaa katika biashara ya mazao na pia kulima mazao katika mikoa minne ya kanza ya Magharibi na kusini. Nimefanya export ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.