Waziri Aweso aunguruma Morogoro
Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06...
Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji.
Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la upatikanaji maji limekuwa changamoto kubwa sana kwani maji yanatoka mara moja kwa wiki tena kwa muda...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka wasoma mita kuacha mara moja kuwakatia maji wananchi siku ya sikukuu ama jumamosi na jumapili kwa kuwa ni haki yao.Aidha amesisitiza wananchi waombapo kuunganishiwa maji basi siku saba zitoshe kukamilisha zoezi hilo.
Pia soma Meneja wa usambazaji maji...
WAZIRI AWESO AANZA ZIARA YA MOROGORO
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewasili Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Siku moja ya kukagua na kufuatilia hali ya huduma ya upatikanaji wa Maji katika Mji wa Morogoro
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka Wasimamizi na Watendaji wa...
Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ameweka bayana kuwa Wizara ya Maji haina deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na uwekezaji mkubwa wa miradi ya Majisafi Nchini hususani Mkoa wa Dar es salaam.
Mhe Aweso ameyasema hayo wakati akitoa mrejesho wa ziara yake ya siku tano...
Usiku wa kuamkia leo tarehe 03 Julai 2024,Waziri wa maji Jumaa Aweso (Mb) ametembelea na kukagua Hali ya uzalishaji maji katika mitambo ya Ruvu juu na Ruvu chini iliyopo mkoani Pwani.
Ziara hiyo imelenga kuangalia hali ya uzalishaji maji katika mitambo hiyo inayotumika na wakazi wa Mikoa ya Dar...
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufaya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya MO Dewji, Imran Sherali ambaye ameambatana na Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe. Ighondo Ramadhani na mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Bupe Mwakang’ate jijini ofisi ndogo za Wizara ya Maji DUWASA...
Hii ni hakika. Tunetoka kwenye mvua kubwa, mifereji ya Jiji la Dar na vijito bado vinatirisha maji. Wananchi wachota hayo maji kwa matumizi Yao ya kila siku.
Bila haya maji, Jiji la Dar liko kwenye hatari ya kindupindu.
Aweso changamka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Waziri wa afya pia...
📌📌 WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com ambaye ni Mkazi wa Sombetini kusema kuwa kuna changamoto ya maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hali ambayo ilikuwepo kwa miezi kadhaa nyuma na sasa imejirudia na kuwasababishia Magonjwa ya Tumbo...
Akizungumza katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi Mradi wa Maji Bangulo, Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso amemwambia Mkandarasi kuwa Wananchi wa Kusini mwa Dar wameteseka kwa muda mrefu, hivyo hana kisingizio kutekeleza mradi huo kwa kuwa fedha zipo.
Waziri Aweso amewaambia DAWASA kuzingatia...
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji inayoongozwa na Waziri Jumaa Aweso.
SUWASA inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Sebastian V. Warioba...
Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia kutoa fedha na tayari Ukarabati wa Mabweni umekamilika na sasa kazi ya ujenzi wa Maktaba kubwa ya...
Leo ni siku ya nne hakuna maji kabisa . Mvua zinanyesha na Tanga Uwasa Walikuwa wanasingizia ukame. Sasa mvua zipo za kutosha. Hakuna maji kabisa, siku nne!
Tanga Uwasa hawana wa kumwogopa, hawana wa kuwakemea ndiyo maana wanafanya wanavyojua!
Rais wetu mama Samia pole kwa majukumu.
Leo nimekusikia ukisema chanzo cha mgao wa maji hapa Dar ni ukame uliopo mto Ruvu na sababu ni watu kuharibu mazingira. Naomba nikubaliane na wewe kwenye hili, lakini.
Nakuomba uongee vizuri na Waziri Aweso kwa maana sababu inaweza ikawa zaidi ya hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.