Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu.
Source: Aljazeera
Wakuu,
Inaonekana huko nchini Uganda masuala ya "hacking" na "cyber security" yamepamba moto mno.
Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia mifumo ya Benki Kuu na kuiba fedha, lakini imekanusha madai kuwa kiasi kilichoibwa kilifikia dola...
Wadau hamjamboni nyote?
Makomandoo wa IDF wameanza kulipua mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hezbollah huko mpakani mwa Israel na Lebanon
Ni maandalizi ya uvamizi kamili unaotarajiwa muda wowote kuanzia sasa.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Israeli troops have entered Hezbollah...
#HABARI Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika eneo la mnada wa Lulembela baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na...
Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo.
Baadhi ya Wananchi wengine pia walifunga Barabara ya Kuu ya Mwanza-Simiyu-Mara, baada ya tukio hilo...
Picha na AP.
Waandamanaji 10 wanaripotiwa kuuawa na polisi baada ya kuvamia jengo la Bunge la nchi hiyo na kuwashinda nguvu polisi.
Hali kwa sasa ni shwari kidogo baada ya polisi kuongeza nguvu ya idadi katika eneo hilo. Idadi ya watu wapatao 5o wamejeruhiwa na huenda idadi hiyo ikaongezeka...
Wanaukumbi.
BREAKING:
🇷🇺Mapigano na magaidi yanaendelea, baadhi ya wanamgambo wameondolewa, wengine wamezuiliwa.
- Wanamgambo wawili waliangamizwa huko Dagestan,
-Gari la doria linawaka moto kwenye Mtaa wa Ordzhonikidze.
-Mashambulizi ya silaha yalifanywa kwa makanisa mawili ya Orthodox...
Wananchi wa Kata za Njoro na Kaloleni Manispaa ya Moshi wamevamia na kujenga makazi ya kudumu juu ya mtandao wa majitaka na hivyo kukwamisha Oparesheni ya kuzibua chemba zinazoziba.
Mbali na Hilo,wananchi hao wamekuwa wakitumia vibaya mtandao wa majitaka kwa kutupa takangumu kwenye mfumo wa...
Wanakumbi.
MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU
Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu.
Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa kanisa hilo wakati wa Jumapili ya Pasaka kwa Wakristo wa Orthodox...
Kiwanda kimoja cha vyakula karibu na mji wa Istanbul kinachomilikiwa na kampuni ya kimarekani,Procter & Gamble kimevamiwa na watu waliovalia sare zenye nembo za kipalestina na kushikilia mateka kadhaa.
Kampuni hiyo imethibitisha kutokea kwa tukio hilo kama walivyothibitisha polisi wa nchini humo...
Watu wakiwa wamefurika katika makazi ya maji eneo la Boko Basiaya kutokana na kungangania maeneo ya Dar es salaam na kuacha fursa na mashamba mikoani.
Mvua zilizonyesha mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam zimejielekeza kwenye mikondo yake na kusafisha baadhi ya mikpndo yake ikiwa ni mito na...
Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka Wafanyakazi wa kituo hicho kwa muda.
Imeelezwa hakuna mtu aliyeuawa katika tukio hilo ambalo lilizimwa na...
Kweli haya mapanya buku ya HAMAS yalijiandaa kwa muda mrefu na sidhani kama kuna taifa lolote dunia hii limekumbana na changamoto ya aina hii, yaani tangu umbwaaji wa dunia haijatokea binadamu wakajiandaa kama namna haya mazombi yalikua yamejipanga, hata mahandaki ya Vietnam hayakua hivi...
Takriban Tembo 11 wamevamia maeneo mbalimbali katika mji mdogo wa Katesh wilaya ya hanang na kusababisha mauaji ya binadamu na kuharibu mazao mashambani.Idara ya wanyamapori chukueni hatua kabla maafa zaidi hayajatokea.
Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023.
Tukio la wizi lilivyokuwa
Dada mmoja...
Wafuasi hao wameshambulia makao makuu ya Chama cha Rais aliyepinduliwa na kuchoma moto, kupiga mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje ya jengo husika.
Wakati hayo yakitoka Jeshi la Niger nalo limetoa tamko la kuunga mkono Wanajeshi waliomteka Rais Mohamed Bazoum
Wakati huohuo, Urusi imeungana...
Yale yale tu, Waafrika wanakusanyika kusheherekea tamaduni na desturi za Kiafrika kisha Waislamu Waafrika wakaibuka na kuzuia na kusema zifuatwe tu tamaduni za Kiarabu yaani Kiislamu kwenye mkoa wa Yoruba, Nigeria, Afrika........
A Muslim group, Majlisu Shabab li Ulamahu Society, in Ilorin...
Nikiwa katika matembezi yangu hapa Iringa Mjini nimepata kusikia habari za uwepo wa makundi mawili ya Simba wanaosadikika kutafuna mifugo katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo ya Lupembe lwa senga na vijiji jirani
Kama kuna mtu anaweza kuwa labda kashuhudia au muhanga tunaomba taarifa rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.