Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa kabla ya muda) lakini hali inaonekana kuwa sio shwari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Ambapo...
Novemba 17, 2023, Dunia iliadhimisha siku ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati, siku moja kabla, nilibahatika kufika katika Wodi maalumu kwenye mojawapo ya vyumba vya kutunza Watoto hao katika Hospitali ya Benjamin Mkapa na kujenga msingi wa simulizi hii.
Ni kijichuchumba kidogo chenye nafasi...
SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi.
Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takriban watoto laki Mbili mpaka laki Tatu kwa Mwaka huzaliwa kabla ya muda (watoto njiti) Tanzania.
Waziri Ummy amesema hayo katika ofisi ndogo za Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuelekea awamu ya pili ya ugawaji wa vifaa...
Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana.
Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA
"Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha
"Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka Mipango...
Mtoto aliyezaliwa kabla ya kufikisha wik 37 za ujauzito huitwa Njiti. Lishe bora ni muhimu sana kwa watoto njiti kwa sababu inachangia moja kwa moja katika ukuaji wao na maendeleo ya kimwili na kiakili. Hapa kuna umuhimu wa lishe bora kwa watoto njiti:
Kuchochea Ukuaji wa Kimsingi: Watoto njiti...
Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa karibu wa mama yake.
Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
Tangu mwaka 2011, Novemba 17 imetambuliwa kama Siku ya Watoto wanaozaliwa Kabla ya Wakati Duniani ili kuongeza ufahamu na uelewa wa tatizo hili, pamoja na mahitaji na haki za watoto wachanga na familia zao.
Pia kuongeza uelewa wa umuhimu wa uzoefu na huduma za mfumo wa Afya na hivyo, kuendeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.