Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Haijalishi mtoto wako ni wa elementary school au shule za kawaida za serikali.
Kaa na mtoto wako karibu, kuwa rafiki yake, ubize wa maisha usikunyime muda na mtoto,
Muahidi na mpatie vitamu akiwa anakuambia jambo lolote linalomsibu huko shuleni. Mkague viungo vyake pande zote.
Dunia imekuwa...
Hali ni mbaya—tena mbaya sana. Ni vigumu kuelezea kiwango cha uharibifu bila kushikwa na hasira kali. Tumeingia katika zama za giza, zama ambazo maadili yameanguka vibaya, na kizazi kipya kinazama kwenye kinamasi cha upotovu bila hata kupambana. Wale tuliowatarajia kuwaongoza—mababa wa kiroho...
Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewapatanisha viongozi wa Kijamii wa Kimasai, Ole Paserian na Ole Kisongo, na kuimarisha mshikamano ndani ya jamii hiyo.
Hafla hiyo imefanyika wakati wa ibada ya kubariki "Malaiyoni"...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo,
Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji...
Watoto wangu nimewaamishia Mlimani primary school iliyopo udsm ambayo ni english medium primary school inayomilikiwa na serikali
Siamini kabisa kwenywe primary schools zinazomilikiwa na watu binafsi
private school Nilikuwa nalipishwa Ada milioni 2 kwa mwaka , halafu walimu wanaomfundisha...
Disclaimer:
Uzi huu ni mawazo ya mwandishi pekee na wala hauna nia ya kuharibu biashara yoyote ya mtu bali kuelezea jamii kuhusu hatari ya kemikali katika vyakula
Katika pitapita zangu nilikwenda kumpa hai rafiki yangu maeneo fulani hapa mjini, nilipata mwaliko wa sikukuu ya Idd hivyo niliona...
Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima
Diamond Platnumz alitoa msaada wa nguo kwa watoto yatima jambo lililowapa faraja watoto yatima pamoja na walezi wao lakini jambo la kushangaza ni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
Wakuu habari zenu niende kwenye mada moja kwa moja
Nimekuwa nikiangalia ukuaji wa watoto wa kwetu na watoto wa kizungu
Kupitia movie ata documentary mbali mbali ata series
Nilichokuja Tambua ni kwamba wazungu huwai sana ku detect kipaji au kitu fulani special kwa watoto wao
So inakuwa...
Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao.
Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
Marafiki zake wanamchapia wake zake, Mabinti zake ni sukari ya mji, vijana zake akiwatafutia vibarua wiki moja wanarudi maskani kuchuja nafaka, hakika huyu msukuma ana balaa, sasa sijui ni usimamizi mbovu wa familia yake au wanawake zake ndio wanamharibia watoto
All in all usiombee hii ikikute.
Nakatiza pande za mtaa wa Kongo.
Nyomi la hapa si la mchezo.
Watu tunatembea kwa kusukumana. Jua la utosi. Afu katikati ya msongamano unamkuta mama akiwa na mtoto mgongoni.
Daah unaishiwa pozi.
Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa kwa ujumla.
Rai hiyo imetolewa leo Machi 21, 2025 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel...
Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama.
Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
Kwenye msiba wa mzee flani mtaani, wakati watu wanaaga, mmoja wa wajukuu zake aliona mwili kwenye jeneza akasema kwa sauti kubwa “kwahiyo babu sasa hivi amekua Zombiii” wote tuliokua karibu tukabaki tunacheka tu!
Hivi, japo najua si mimi pekee, badhi ya wanawake, msio na chembe ya huruma kwa watoto wenu, japo mnasahau kuwa ipo siku mnacholingia hakitakuwa na thamani tena, mnafikilia kizazi mnachotengeneza!?
Nikiwa kama single father, nimejitahidi sana, na bado naendelea, ila wazee, ukiona mwanamke...
Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.
Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria
Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa.
Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu.
Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.