Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, ameupa muda wa siku Saba Uongozi wa Chama cha Tanzania Labour Part (TLP), kutoa ufafanuzi wa madai ya ukiukwaji wa Katiba ,Kanuni za Chama hicho kikongwe cha Siasa Nchini kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa ofisini kwake na Wanachama wa Chama hicho Nchini...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyowasilishwa katika ofisi hiyo na kada wa chama hicho, imewafikia.
Kanda huyo Lembrus Mchome, mjumbe wa Baraza...
Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu mno kwa vyama husika kufanya siasa ya kweli ili kuweza kupata mbadala wa chama tawala.
Iko wapi njia...
"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano.
"Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo.
"Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura.
Angalizo hilo limetolewa mjini Kibaha na Kaimu Mkurugenzi wa tume hiyo, Mtibora Seleman, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa...
Ili uelewe vizuri iangalie ACT Wazalendo inayounda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina Wanachama wangapi na vitega Uchumi gani?
Ukubwa wa Chama Cha siasa ni Hazina ya Fikra vichwani mwa Viongozi na akilini mwa Wanachama
Nimefurahia yale Mapokezi ya Tundu Lisu pale Mahakama Kuu lakini zaidi...
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar.
"Wanawake wamekuwa wakilalamika wakichukua fomu wanaanza kufatwa kwamba wao' si mna viti vyenu Maalumu ' tuachieni sisi huko ( jimbo), ndio maana tuna sema kuna ubinafsi kwenye vyama vya siasa.
Ni maneno ya Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la wanawake katika...
NB. JK ameonekana rasimi ni adui wa Demokrasia nchini, aliamia kuchukua mamlaka ya kujimilikisha uenyekiti wa kikao na kutoa pendekezo la udikteta kwa kulazimisha kupitishwa majina ya wagombea Urais bila kufuata utaratibu wa chama.
Hii maana yake ni kuwa chama kimekiuka miongozo ya katiba ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote.
Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia...
POLISI KUENDELEA KUSIMAMIA USALAMA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA BILA KUJALI ITIKADI: BASHUNGWA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote.
Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia...
Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa nchini, Sixty Nyahoza, azomewa na umati wa watu baada ya kutaja 4R za Rais Samia kwenye uchaguzi wa CHADEMA. Uchaguzi huo unafanyika leo, Januari 21, 2025, Mlimani City kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho.
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA...
Katika uhalisa ndani ya taifa letu chama tawala ndio chama chenye nguvu kuliko vyama vingine ambapo Mgawanyiko huu wa sehemu mbili yani dhaifu na nguvu unaweza kuondoa demokrasia, usawa na haki.
Hii ni tofauti na vyama vya siasa vilivyopo Marekani, ambapo huko vyama. Vyote vina usawa hata kama...
Fikiria tarehe 19 na 20, ccm itafanya mkutano mkuu kumpata makamu mwenyekiti tanganyika lakini mpaka leo hakuna majina yaliomba hiyo nafasi ili wanachama wakayapigie kura!!
Haya ni maajabu kwa sababu wanachama watapata muda gani wa kumtathmini na kumchambua makamu mwenyekiti wao?
CCM njooni...
Kinachomtofautisha Tundu Lissu wanasiasa wengi hapa Tanzania ni usomi wake.
Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema kwamba kila anapozungumza Lissu yeye humsikiliza kwa makini sana.
Mara nyingi katika mazungumzo yake Tundu Lissu lazima atatoa neno au somo jipya kwa wasikilizaji wake.
Msikilize...
Naomba nisisitize kwamba utaratibu uliopo wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru hii sio demokrasia na ili ipatikane tume huru na ya kisasa zaid itakayo fanya haki nilishauri kwenye jukwaa la stories of change kwamba tume huru ikaundwe na wataalamu wa vyama vyote vya siasa nchini hapa...
Kumekuwa na tetesi za magenge ya wanasiasa wa chadema, akiwemo Mdude Nyagali kukusanya makundi ya vijana na kuyapa silaha za aina mbalimbali ili waje nazo kwenye uchaguzi mkuu wa chama changu cha chadema. Hili pia linafanywa na Heche. Taarifa zinasema wamejipanga kufanya vurugu kubwa sana nje na...
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.