Miaka kadhaa takwimu zinaonyesha kuwa Simba imekuwa ikiinyanyasa sana Yanga kwa kuifunga idadi kubwa ya magoli hadi goli tano.
Yanga ilikuwa ikishinda unakuta ni kagoli kamoja tu au viwili. Yanga ikampata Gamondi aliyekuja na kufanikiwa kuifunga Simba goli tano(5).
Nadhani kikosi kazi cha...
Mwaka huu 2024 mwezi wa nne.
Mwenge Dar es salaam. Nilikuta na Dada mmoja 26 Miaka.
Nilitokea kumpenda nikamuomba namba tukandelea kuwasiliana.
Baada ya mda tukaanzisha mahusiano. Kila siku nilikua na mtumia pesa ya matumizi.
Huyo dada alinieleza kua ana Watoto 3.
Kwa kua nilimpenda...
Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi.
Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
10 Countries that would be Impossible to Invade
For many reasons some countries they say, can never be invaded. It is probably because of the geography or because their armies and people are so powerful that they are invincible. While we are of an humble opinion regarding any nation’s...
Habari wana JF,
Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa.
Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao maendeleo yao shuleni kwenu yako chini sana hayalingani kabisa na umri na watoto wa rika lake...
Mwaka 2019 serikali ya Marekani chini ya aliyekuwa raisi wakati huo Donald Trump, iliweka sheria ya kutotumia huduma na vifaa vya Huawei katika idara nyeti za usalama wa taifa hilo.
Sababu kuu ilikuwa ni kwamba usalama wa taifa hilo ulikuwa hatarini, ikidai kuwa China inaitumia kampuni ya...
Sitaki kueleza mengi lakini hii video fupi ina majibu yaliyojitosheleza.
https://www.youtube.com/watch?v=8-CbgmH895g&ab_channel=Ab%C5%ABIsr%C4%81%27%C4%ABl
Hakuna mwanadamu asie kuwa na changamoto. Asilimia kubwa ya watu duniani tunapitia matatizo makubwa mbali mbali ila kuna wale watu ambao utafikiri furaha hata robo sio ridhiki kwao.
Unaweza mkuta mmama, mwenye hurka ya kuishi vyema na watu lakini anapitia mateso kutoka kwa mme wake, wifi zake...
Ukiondoa taifa la America na baadhi ya mataifa ya ulaya, wengi wa viongozi wakuu wa taifa mbali mbali wang'angania kuilaumu Israel kwa uisambaratisha Hamas. Sasa israel inajipanga kuivamia RAFAH na bado viongozi wa kiarabu ,UN ,Afrika waniona israel kama nchi mbaya sana.
swali ni je israel...
Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza.
Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu.
Maumivu kutokana na...
Muda mfupi baada ya mkutano kati ya Rais Xi Jinping na Rais Joe Biden wa China kukutana na kufanya mazungumzo mjini San Francisco nchini Marekani wachambuzi na wadau mbalimbali wa mambo ya siasa na uchumi wamekuwa wakitafsiri umuhimu wa mkutano kati ya viongozi hao wawili, na matokeo yake kwa...
Asalaam aleykum,
Ama baada ya salamu hizo, rejea kichwa cha habari, chahusika.
Uhuru ni kitu muhimu ambacho kila mmoja anakitamani. Lakini kwa bahati mbaya sana katika historia ya binadamu, imekuwa ni hulka ya baadhi ya watu furaha yao kukamilishwa kwa kuwanyonya/kuwakandamiza wenzao.
Hili...
1: Mungu sio masikini. Siku anaumba mtu alimpa vitu vingi akamzuia kimoja. Hii inamaanisha mtu akiwa na katika uwepo wa Mungu atakuwa na vingi na kupungukiwa vichache.
2: Umasikini ni fikra. Mkristo anayejitambua fikra zake ni zakitajiri hata kama hana 100. Maana kuwa mkristo ni unarithi vitu...
Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia kufanikisha lengo hilo. Hivi karibuni moja kati ya mambo ambayo Marekani imekuwa ikiyataja na kuhimiza kwa...
Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System.
Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo...
Kwa mfanyabiashara mdogo na mkubwa kulipa Kodi Halali ni vigumu sana,akilipa Kodi Halali ajiandae kufunga biashara yake (kufirisika) viwango vya Kodi ni vikubwa mno.
Wafanyabiashara wengi wanaamua kutumia mbinu kama kusema uongo juu ya mauzo ya Kila siku Ili akadiriwe Kodi kidogo,kufoji...
Japo nalaani mauaji ya kinyama yaliyofanyika huko Kilifi Kenya, nina wasiwasi kama sheria zetu za kiingereza zinaweza kumtia hatiani.
Zifuatazo ni sababu nuzuhu za kisheria:
Mosi, si rahisi kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwashawishi wahanga kutokula. Na kama aliwashawishi, si kosa kumshawishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.