Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji.
Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma.
Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni.
Naomba nitoe mfano mdogo:
Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
Kanda ya nyanda za juu kusini ni kubwa sana kieneo inajumuisha mikoa ya Mbeya ,iringa, njombe, ruvuma ,songwe , rukwa na katavi kijiografia hii Kanda ingegawanywa mara mbili kutokana na umbali wa mikoa mingine kuifikia Mbeya ambapo ndo makao makuu ya hii Kanda wanaweza wakamega Kanda Kama...
Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT??
Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo, amesema hana wasiwasi kuhusu ushindani katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, akiamini kuwa maendeleo yaliyotekelezwa jimboni kwake yanampa nafasi kubwa ya...
Akiongea wakati wa Uzinduzi wa kiwanda Cha mwekezaji mzawa huko Njombe,Prof.Kitila Mkumbo Ameelezwa kusikitishwa na jinsi wawekezaji wanavyohangaishwa na watu wa Serikali.
Amesema kumekuwa na utitiri wa taasisi za Kutoza Kodi ambazo zinadai kubuni vyanzo vya Mapato Kwa kumuongezea...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Dr. Badr Abdelatty, wameshiriki...
Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega aking’aka hatua ya makandarasi wanaojenga miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, kutokamilisha kwa wakati, Bunge nalo limeiagiza Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuwasimamia kikamilifu makandarasi.
Limeagiza mradi wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la Esther aliyemshukuru kwa kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya elimu.
Wadau nimeguswa sana na tukio hili na...
Habari wadau wa UTT,
Hivi kwa wale wenye uzoefu ukiwa umewekeza kiasi cha shilingi Milioni 2 na laki moja jikimu fund utapata kiasi cha shiling ngapi kwa kila miezi 3 yaani quoter 1, quoter 2, quoter 3 na quoter 4?
na je hicho kiwango huwa kinawekwa muda gani mfano miezi mitatu ya mwanzo bimana...
Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema.
Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa na uwekezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika miundombinu ya elimu katika mikoa ya Tanga na Pwani, ikisema miradi hiyo ni hitaji kubwa kwa wananchi wa maeneo husika.
Kamati hiyo imetoa pongezi hizo siku ya...
Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa...
Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi.
LAKINI…
Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
**"Karibu kwenye fursa ya kipekee ya uwekezaji! Uwekezaji katika cocoa, korosho, iliki, na mbaazi ni njia bora ya kujenga mali yako. Pata faida ya hadi 15% kwa mwezi kwa kuwekeza katika sekta hii inayokua haraka. Tunachofanya ni kununua nafaka kama korosho, iliki, kokoa, na mbaazi, kisha kuuza...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze kujiajiri mapema hata kabla ya kuingia rasmi kwenye soko la ajira.
Amesisitiza hayo Februari 28...
Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Viet Nam, Mhe. Le Thi Thu Hang...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.