uvunjifu wa amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Megalodon

    Viongozi wa Kiislam Kupitia BAKWATA elimikeni, haki ya Uchaguzi sio Uvunjifu wa Amani

    Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata. Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa...
  2. S

    Tanzania tunaanza kuwa na Makaburu weusi wasiovumilia lolote kuhusu marekebisho ya Katiba au haki za uchaguzi, wakiviona ni uvunjifu wa amani nchini!

    Imefikia mahali ambapo viongozi wa upinzani, viongozi wa kidini, taasisi za kijamii za ndani na nje, ofisi za ubalozi, watu binafsi mmoja mmoja au kama vikundi, nk, wakatamka jambo lolote kama mashauri au kukosoa kuhusu mustakabali wa uongozi nchini Tanzania wenye kuboresha haki, uongozi bira...
  3. M

    Pre GE2025 Ally Bananga: Mikutano ya upinzani huzuiliwa kwasababu hutanguliwa na kauli zinazoashiria uvunjifu wa amani

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Dar Es Salaam Ally Bananga akijibu kuhusu kuzuiliwa kwa maandamano ya mara kadhaa hasa ya vyama vya upinzania, ameeleza kuwa mara nyingi wapinzani hawazuiwi kufanya maandamano bali baadhi ya maandamano yao hutanguliwa na kauli ambazo...
  4. Cute Wife

    Kauli ya Ally Hapi ni ya kichochezi na uvunjifu wa amani, akemewe mara moja

    Wakuu, Juzi Ally Hapi alivitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua CHADEMA wanaotaka uchaguzi usifanyike bila ya mabadiliko kufanyika, akisema ni kisingizio kwa kuwa hawajajiandaa. Kauli hii inazidi kukandamiza wapinzani na wananchi kwa ujumla kwenye uhuru wa kutoa maoni yao pale wanapoona...
  5. Mganguzi

    Katibu Mkuu CHADEMA tafadhali ahirisha uchaguzi mkuu mpaka hapo baadae kwakuwa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani

    Namshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu, kwa sababu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana Lissu na Heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa kauli zao wamevunja kanuni za uchaguzi, tubaki na wagombea wawili tu
  6. L

    LGE2024 Zoezi la Uchukuaji na Urejeshaji wa fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mbwembwe linaloendelea nchini nzima ni ishara ya uvunjifu wa amani

    Sioni sababu yoyote ya watu kukusanyana kwa ajili ya zoezi la kwenda kuchukua fomu tu ya kugombea, kwangu naona ni ishara kuwa wanaofanya hivi lengo lao wakishindwa kwenye uchaguzi ionekane wameibiwa kura, period. Kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za 2024, mwongozo wa uchaguzi na mwongozo...
  7. Mkwawe

    Pre GE2025 Viongozi wanasema ni haki yenu kikatiba kujiandikisha kupiga kura hao hao wanasema kuandama ni uchochezi na uvunjifu wa amani!

    Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha. Hii ndiyo sehemu pekee mtanzania anayo maamuzi binafsi bila mtutu wa polisi, vitisho vya viongozi wala...
  8. Roving Journalist

    Pre GE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama...
  9. J

    Pre GE2025 Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani

    Msajili wa vyama vya Siasa amepiga Marufuku Kongamano la Chadema mkoani Mbeya lililokuwa kifanyike kesho Jumatatu. Msajili amesema matamko ya Chadema yanaashiria uvunjifu wa Amani. Amesema kwa mfano Bavicha wanasema " Siku hiyo tutaweka hatma ya nchi yetu Tanzania kama ambavyo Vijana wa Kenya...
Back
Top Bottom