upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Serikali iangalie upya sifa za kugombea ubunge

    Habari za leo ndugu zangu, Uzi wangu leo utakua mfupi sana. Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada. Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma. Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four. Ndugu zangu ni ushauri tu. Ninyi...
  2. T

    Rais Samia kuanza upya siyo vibaya, kwa Wakuu wa Wilaya/Mikoa si Sabaya peke yake, wapo wengi waliovunja haki za binadamu

    Mama kwa heshima na taadhima,kwanza nikushukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya mkuu wa wilaya ya Hai mheshimiwa Sabaya, na kwa kuwa la Sabaya umesema lichunguzwe maoni yangu kuhusu yeye ninayaweka kando. Ila mama nikumbushe kitu kimoja, umefungua mlango ambao haukupaswa kufunguliwa,ila tu kama...
  3. J

    CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini? CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia? Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
  4. Nyankurungu2020

    TUCTA genge la wanyag'anyi lisilo na msaada kwa watumishi wa wafanyakazi. Linatakiwa kupungwa na kufumuliwa upya.

    Hili shirikisho la vyama vya wafanyakazi hapa nchini Tanzania ni wala michango ya wafanyakazi pasipokuwa na msaada wowote kwa wafanyakazi, kwa ujumla ni wanyag'anyi wasio na msaada kwa wafanyakazi. Kwa zaidi ya miaka sita wafanyakaz wanapigwa sound na viongizi wa nchi huku hali na ughali wa...
  5. EMMANUEL JASIRI

    TRA tafadhali angakieni upya huu utaratibu wa kitambulisho cha machinga

    Mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo,nayajua maumivu tunayo yapitia sisi wajasilia mali wadogo.Natambua uwepo wa wafanya biashara weye mitaji mikubwa ambao wamejigeuza kuwa machinga kwa lengo la kukwepa ulipaji kodi. Hata hivyo wapo wengi ambo ni machinga halisi,pia wapo pia ambao hapo awali...
  6. B

    Rais Samia, Katibu Mkuu Kiongozi undeni upya vetting section

    Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye Utumishi wa Umma. Upo uwezekana wapo watu wachache wasio waadilifu wameingizwa jikoni lakini...
  7. M

    Rais Samia itazame upya HESLB na ikiwezekana Wazingue

    Mh. Rais ninakusalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwaufupi ninashauri Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu itazamwe upya. Menejimenti ni mbovu, huduma sio rafiki, wahitaji kama yatima na maskini hawajapewa Mikopo na wengine wameacha vyuo na wakati huo wapo ambao wanamudu kujisomesha...
  8. M

    Majambazi wamerudi upya, sasa hivi wananyonga hawaulizi

    Matukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu. Kwa mujibu wa...
  9. Kinuju

    Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

    Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Esther Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa Wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi Watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu. My take...
Back
Top Bottom