Habari,
Hivi kwani ni lazima mtu kulia hadi uso uchakae unapofiwa na mtu wako wa karibu (wazazi ,mwenza,mtoto, ndugu)? Au ni lazima kulia mbele za watu wajue umelia?
Kwanini watu wakienda kwenye msiba wanataka wakimuona mfiwa wamuone kachakaa, macho yamevimba uso umeumuka kwa ajili ya kulia...
Wakuu kuna jamaa yangu ameingiza mkweche (gari) kutoka kwa mjapani. Sasa kuna wananzengo wanampiga saundi eti apige ribiti kwenye maeneo mbalimbali ya gari kama vile kwenye taa na maeneo mengine yaliyo loose eti ili wajuvi wasipate tamaa ya kuvikwapua vitu ivo.
ivi wakuu kuna ukweli ktk hili...
Ukiona mwanaume anaponda kunyonya uke kama sehemu ya kibwagizo cha shoo za kibabe na shoo za kinyamwezi ujue huyo mwanaume hajui emotions za physical and romantic touch.
Mwanamke anaejielewa anakuwa na uke msafi na kunyonywa uke ni burudani kuliko shoo yenyewe. Wapiga shoo za kibabe kunyanya...
ATHARI ZA KUPIMA UTI PASIPO ULAZIMA
Ukienda kupima malaria unaambiwa una UTI. Ukijisikia dalili za homa inayotokana labda na infection kwenye jeraha, dokta anakuambia utapata dawa za kidonda na UTI. Una jipu linalokupa homa ukaenda hospital kupasua dokta anakuambia una UTI pia. Umekula nyama...
Hii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake
Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu...
Wakuu habari za majukumu.
Naomba kuuliza kama Kuna ulazima wa kuanza na certificate kwa mtu mwenye matokeo ya o level Physics-C, Chemistry B na biology-B na anataka kusoma diploma in clinical medicine
Nashauri kuwe na TANESCO kwa kila kata hata kukiwa na fundi mmoja tuu akasaidiana na hawa mafundi wasaidizi waliopo ili kutatua changamoto za umeme ambazo zinatokea kwa sababu kuna wakati inaanguka nguzo tu ya umeme lakini inaweza kuchukua hadi wiki 2 bado hawaja badilisha wakati huduma yao...
Hivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati?
Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo wake hauathiri ubora wala utamu wa chapati.
Hivyo kwa maoni yangu hakuna umuhimu wowote wa...
Wasalaam wana JF
Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA?
Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
sijajua kuwa hili jambo linatokea upande wangu au wanaume wenzangu lipo na kwenu kwani tayari nimepita mahusiano matano lakini hali ni moja kwa wanawake wote wamekuwa ni watu wa kuwasema wenzao mara umbea fulani na kwa bahati mbaya sipendi kusikiliza ila nakuwa sipendi kumboa mtu hivyo naguna...
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,
Tuambizane ukweli, ni nani miongoni mwenu ambaye anaweza kuwa Rais wa nchi, wananchi wake wakalemewa na ukali wa maisha namna hii akaendelea kuwaonea huruma...
Uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi ulikua na ulazima wowote? Hivi vifo vingeepukika, na bado wanaendelea kufa...
The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks on the Gaza Strip has climbed to 17,997 since Oct. 7, the Health Ministry in the enclave said Sunday.
Speaking at a press...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia hali mbaya ya Foleni hasa nyakati za Jioni na Asubuhi, chanzo kikubwa cha Foleni kimekuwa ni utaratibu mbovu wa Trafiki kuongoza Magari ya upande mmoja kwa muda mrefu wakati mwingine hadi nusu saa Saa moja kwa upande mmoja.
Pia, Trafiki husimamisha...
Lengo ni kusogeza huduma na kutanua wigo wa huduma ya upqngaji uzazi
BBC
---
Millions of women will be able to get free contraceptive pills on the high street from next year without having to see a GP, under new plans revealed by the NHS.
Starting next month, women in England can obtain a...
Kwenye historia ya vita na mahusiano ya kimataifa, kuna nadharia inaitwa “Thucydides Trap” ambayo utumika kuelezea ulazima wa kutokea mgogoro au vita endapo taifa linalochipukia linapotishia kulizidi nguvu na ushawishi taifa lenye nguvu.
Kama wewe ni msomaji wa siasa za Nicollo Machiavelli...
Kuhamisha watu milioni moja sio kazi rahisi kihivyo, ukizingatia wote hawa wanateseka bure na hawakuyataka haya, majengo yao yote yanasambaratishwa na kuwa mashamba na magofu, na wanaenda kuteseka kwenye baridi na mahangaiko mengine, kwa kifupi HAMAS na mashetani mnaowaabudu kisa dini mkae...
Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani.
Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa anaadhimisha miaka miwili madarakani, niliandika makala nikihitimisha kwamba yeye ni "mtu mzuri".
Hata hivyo, tathmini yangu ilikosolewa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya watu. Jinsi gani niliweza kudai, wakosoaji walijiuliza, kuwa Rais ni mtu mzuri?
Nakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.