ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. kaka km

    Ushauri: Serikali ondoeni kituo cha daladala cha Ubungo River Side, kinasababisha foleni isiyo ya lazima

    Naomba kushauri serikali iondoe kituo cha daladala cha ubungo river side kwani kinasababisha foleni isiyo ya lazima. Ubungo kuna flyover lakini foleni inayosababishwa na kituo cha riverside kama unatokea Buguruni inaondoa kabisa ladha ama raha ya uwepo wa ile flyover. Kutokea Mwenge kwenda...
  2. K

    NEMC na Halmashauri ya Ubungo

    Mwangalieni mkandarasi aliyepewa tender ya kukusanya taka mpiji Magoe anachafua mazingira. Anakusanya taka majumbani na kuyatupa kwenye makazi ya watu. Angalia picha fuatilia eneo CCM karibu na Mbozi.
  3. L

    Ubungo Riverside kuna ghorofa inachafua tunu za taifa

    Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika. Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
  4. GENTAMYCINE

    Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

    1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii 2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho. 3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu 4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana 5...
  5. Shujaa Mwendazake

    Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

    Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara. Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
  6. P

    Jengo la Tanesco Ubungo lifanywe Hostel za wanachuo

    Siwezi kujua lengo la shirika la umeme Tanesco kuhusu jengo lao lililoko Ubungo jirani na daraja la Kijazi. Lakini kwa muonekano kwa nje Ni Kama halitumiki. Kwa kuwa serikali ya AWAMU ya sita iko katika safisha safisha ya baadhi ya madudu yaliyoonekana yanazingua nchi na wananchi wake Basi...
  7. MKEHA

    Heri James karibu Ubungo. Kwa kadri ya uwezo wako umeifanyia mengi UVCCM

    Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake. Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga...
  8. Z

    Hongera DC Kheri James, tusaidie kutatua changamoto hizi Kibamba

    Kipekee nampa Pongezi Heri James kwa kuteuliwa kuwa DC wa Wilaya ya Ubungo. Wananchi wa Ubungo wana imani kubwa na wewe haswa kwa uzoefu ulio nao na maono uliyo nao, ulifanya kazi kubwa ulipokuwa Mwenyekiti wa UVCCM. Wilaya ya Ubungo ni Miongoni mwa wilaya mpya katika Jiji la DSM na Makao yake...
  9. Erythrocyte

    Baada ya Heri James kuwa DC, Mwenyekiti Mpya wa UVCCM kutokea tena Zanzibar?

    Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar. Sasa swali langu ni...
  10. Erythrocyte

    Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea achukua fomu kugombea Urais wa TFF

    Hii ndio taarifa ya sasa kutoka ofisi za TFF , Hata hivyo kabla ya kukabidhiwa fomu yake Kubenea alilalamika kwamba kulikuwa na njama za kumchelewesha makusudi.
  11. EINSTEIN112

    TANROADS hii barabara ya kuingia na kutoka Mawasiliano sijawaelewa

    Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City. Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala. Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower. Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about. Huu ni mzunguko mrefu...
  12. Ngaliba Dume

    NSSF mnawatesa Wajawazito wa Fao la Uzazi; Customer Care mbovu ofisi za Ubungo

    Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam. Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito ukienda kwenye ofisi za NSSF kwa ajili ya Fao la Ujauzito ni kero tupu,sababu mara mtandao unasumbua mara...
  13. JF Member

    Asante Mambosasa na RC wa Dar kwa juhudi zenu za Ulinzi; bado Temeke, Ilala na Ubungo

    Wilaya hizo ulinzi wake umelala sana. Watu wanataka nusu usingizi huku wakijilinda kea wasiwasi. Ifike kipindi wezi wawe wanaiba vitu ambavyo wenyewe hawaviihitaji. Letengenezeni Mazingira muwasaidie wananchi. Matukio ya wizi ni mengi mno. Tembeleeni vituo vya polisi mujionee orodha ya wizi...
  14. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi...
  15. Trubarg

    Kinachoendelea Kijazi Interchange ni hujuma au ni ajali?

    Wameanza fensii zile za waya kila siku zinadondoshwa, sijajua next itakuwa ni nini. Naomba vyombo vya ulinzi wafuatilie isijekuwa ni hujuma za wazi wazi.
  16. B

    Natamani Midahalo ya Nguruma hall na Ubungo Plaza irudi

    Vijana waliojua siasa nyuma ya mwaka 2014 wanakosa uhondo wa majidiliano yenye Afya yaliyokuwa yakiendeshwa na taasisi mbalimbali zakiraia yakihusisha Wataalamu na magwiji mbalimbali ndani na nje ya nchi. Nakumbuka Midahalo ya Nguruma hall, hapa zilizaliwa fikra pevu na ndipo walipo zaliwa...
  17. J

    Kituo cha mabasi ya mkoani Mbezi Louis chakamilika, kufunguliwa rasmi 25/02/2021, Ubungo kufungwa rasmi Jumatano

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Kunenge amesema Jumatano hii ndio siku ya mwisho kwa kituo cha Ubungo kutumika na kuanzia Alhamis kituo kipya cha Mbezi kitaanza kutumika. Naye kamanda Mambosasa amesema wapiga debe wa Ubungo hawatakiwi kuonekana stendi mpya ya Mbezi na kwamba stendi hiyo...
  18. Ghazwat

    Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ipo kwenye majadiliano ya kuhamisha kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (UDART), kilichopo Jangwani na kukipeleka kwenye kituo cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo (UBT). Hatua hiyo inatokana na eneo hilo la Jangwani kukumbwa na mafuriko ya mara kwa mara hali...
  19. FRANCIS DA DON

    Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

    Ilikuwa ni saa kumi na robo alfajiri ya leo, mlio wa simu yangu unanikurupusha toka usingizini, nakumbuka nina appointment ya kumfuata bibi yangu nyumbani alikokuwa amefikia na kumpeleka Ubungo bus terminal tayari kwa safari ya kurudi Kondoa. Ile naingia pale getini tu, nikapigwa na butwaa...
Back
Top Bottom