Yaani tumepigwa kila sehemu
Nyerere Bora tulimtambua Kama mjamaa
Mwinyi alikuwa shamba la bibi lakini watu wote aliwapa fursa sawa kupitia ruksa.
Mkapa akaja na kulipa madeni na utandawazi uchumi ukawa imara nakumbuka wakati wa mkapa change ya dollar ilikuwa 600.
Akaja Kikwete maisha Bora...
Kiufupi hakuna neno lingine la kusema kwa Mutale zaidi ya simba tumepigwa hakuna mchezaji hapo.
Tumemuondoa Saido tumeleta Saido namba mbili ( Mutale) mbovu zaidi ya mara 10 ya Saido namba 1.
Bora Ntibazonkiza alikuwa ana faida kwenye mipira iliyo kufa lakini Joshua Mutale hana faida yeyote...
Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO
HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili.
.
Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu Tanzania yenye uwezo wa kuzalisha nyingi hivyo kutoka kwenye vyanzo vyake bali tunamtegemea...
... MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Mods: ... hili ni bandiko la kisiasa, Ajabu mnalipeleka photos! SI SAWA! ... HUKU NI KUFUBAZA KAZI ZA WATU!
... REPEAT AGAIN: ... THERE'S NOTHING PHOTOGRAPHIC ABOUT THIS POST, SO, PLEASE ...!
Wanasimba wenzangu
Nikiwa kama shabiki wa simba kindaki ndaki naumia sana kuona viongozi wetu wakitupiga namna hii..
Haiwezekani watuletee teka bovu kama huyu Fred..!
Hivi si hata pale mtibwa hapati namba huyu?
Mtu mzito kakamaa kama bao la kwanza kitandani jamani hamuoni?
Sasa huyu teka...
Siku zote vita vilivyozuka hata mitaani kwetu vikiaribia kuisha basi ngumi zinapungua na yule alaiyeshindwa hua anatoa maneno ya kuwaonesha watu kuwa yeye ndiye mshindi.Matokeo yake watu wanaona ugomvi umekwisha na kila mmoja anashika njia aende zake.
Maneno ya aina hiyo yametolewa na waziri...
Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni.
Mpina ameomba Waziri Dr...
Wanabodi,
Mjinga na Mpumba..
Leo naomba kuianza makala ya leo kwa angalizo kuhusu neno mjinga na mpumba. Mtu kuitwa mjinga ni mtu asiyejua, mjinga akiishafundishwa akajua, anaerevuka ujinga unamtoka anakuwa sio mjinga tena bali mwerevu! Mjinga aliyefundishwa na bado akabaki na ujinga wake...
Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana.
Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa...
Ebu tuelezeni kwa nini uwekezaji au ubinafsishaji wa DP World kupitia Serikali ya Dubai uwekewe fensi kupitia Azimio la Bunge!?
Ikitokea Watanzania haturidhiki na kazi za DP World, je Bunge litakaa tena kuondoa Azimio la Bunge kuridhia makubaliano haya!
Wabunge mmekazana huu si mkataba wa kazi...
Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali?
Bunge linatakiwa limuhoji yeye kwa kuwa Yuko Bungeni kwa niaba ya serikali, na ndiye mtendaji mkuu. Kama hana majibu...
Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Katika awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka Tabora mpaka Kigoma.
Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena?
Soma mwenyewe hapa...
Mechi ya tatu mfululizo dogo anakiwasha kisawasawa, kuanzia Tunisia, kule Mwanza na leo uwanja wa taifa. Wachambuzi wa bongo Lomalisa anawavua nguo!
Ushauri katika uchambuzi wenu lazima muwe mnaweka akiba ya maneno.
*Ni yale yanayotengenezwa nchini Korea Kusini kwa ajili ya SGR
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania yanayotengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock (SSRT) iliyoko...
Timu zote zimeshaingia uwanjani.
Mchezo umeanza
01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa.
11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni
15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama
19' 🟨Aucho anapewa kadi ya...
Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu?
Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.