Hii MIXX by Yas muda mwingi huduma haiko hewani. Hapa nataka kununua umeme (LUKU) lakini kila nikijaribu naambiwa muamala umesitishwa, pesa zimerudishwa kwenye akaunti yako.
Jana nilikuwa mahali napata kinywaji na huwa napenda kulipa kwa simu kupitia huduma ya LIPA NAMBA nataka kulipa nakuta...
Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu.
Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao.
Nilikuwa nilipie bidhaa fulani nimeshindwa, huu ni utapeli sasa
Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia.
Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam
Naomba aje inbox
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Wakuu salaam,
Airtel kama mitandao mengine ina huduma inayokuwezesha kuomba kutumiwa pesa na mteja mwingine (kwa TiGO sijaona huduma hii), lakini kwa Airtel iko tofauti kiasi.
Kwa Airtel unaweza kutuma maombi hayo kwa mtu mwingine anayetumia Airtel pamoja na wateja wa mitandao mengine, yaani...
Kawaida ukifanya muamala wowote na Tigo pesa, unaletawa msg of what has transpired to confirm the transaction made. Msg hizo huwa zinabaki mle as long as hujazifuta
Ajabi conversation na Tigo pesa zote zimefutika. Nimeuliza na mwingine naye hazioni ,
Tatizo ni nini?
Samahan wakuu Kwa bahati mbaya Sana Jana nilikua nanunua vocha ya tigo Tsh 4000 kwenye crdb SIM bank sasa nikakosea nikajikiuta nmenunua vocha ya elfu 40000? Jeh naweza kubadilishiwa iwe tigo pesa.
Mwenye kufahamu naomba anisaidie ushauri naweza kweli kuirudisha iingie kuwa tigo pesa.
Kwa kifupi nakareka sana na huduma za huu mtandao.
Mtandao haumalizagi mwezi lazima hitilafu itokee tukose baadhi ya huduma.
Mfano nipo hapa tangu saa moja jioni, TIGO PESA haifanyi kazi.
Unakuta mtu ulikuwa na mambo yako ya msingi ya kufanya lakini unapata hasara kwa sababu ya huu kila mwezi...
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?
Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu. Hawahangaiki hata kuchapa pesa kama benki kuu, wanachapa tu codes, tunakopeshana keshi wenyewe...
Msaada wenu naitaka tigo pesa yangu ila hunikata kila ninapoweka pesa kwa matumizi yangu.
Mfano
Hii ni kifano tu na sometimes nakatwa nastukia baadae.
Msaada wenu ili niset simu yangu isiweze kufanya hii miamala
Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na...
Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu.
GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika Vibendera wa Taifa Moja hivi Afrika ya Mashariki hawapati nafasi ya Kuchezesha Michuano mikubwa na...
Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money.
Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua Rais, Mbunge, Diwani, kisha atatuma kura yake.
Kwa wasio na simu wataenda kwa mawakala kwa kutumia...
Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa.
Tukiwakosa GENTAMYCINE nahama rasmi Tanzania na kurejea Kwetu Gisenyi nchini Rwanda.
Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja.
Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa...
Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error.
Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.