Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000
Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga
Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo...
Nashangaa bado kuna watu wanaiita tarehe 1 Aprili, "Fools' day," au siku ya wajinga. Siku hii ingefaa zaidi kuitwa siku ya waongo kwa sababu watu wengi wanaongea uongo ifikapo Aprili Mosi.
Kama umekuwa ukiitumia tarehe 1 Aprili kusema au kuandika habari za uongo basi ujue baba yako ni...
1. Mchezaji mmoja Kupasuka na kuvuja Damu Kichwani au Usoni.
2. Kadi Nyekundu (ya Mchezaji tegemezi) na Timu moja kucheza pungufu.
3. Mtanange kusimama kwa dakika 3 hadi 5 kutokana na Fujo.
4. Kama kafara la Mtu maarufu na mwanachama lia lia halijafanyika au hajafa
5. Ndimu zisipotumika
6...
Sababu ni moja tu :
Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5.
Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika.
Kwa upande wa Yanga wao hawana...
Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.
Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.
Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC.
Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
Miaka 140 iliyopita tarehe kama ya leo ndipo mkutano wa Berlin ulipohitimishwa. Mkutano ulianza Tarehe 15 Novemba 1884 na kuhitimishwa Tarehe 26 Februari 1885 kwa kusainiwa kwa makubaliano ya jumla baina ya mataifa yaliyoshiriki.
Jambo la kustaajabisha kwenye mkutano huu ni kuwa ingawa...
Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka majumbani kwetu na tungebakia mavyumbani kusikiliza nyimbo za Amapiano TU, kiukweli Azam walitukosa sana...
Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.
Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkutano una lengo...
👉🏾Enyi kizazi cha 2000! ,nafuraha kukujuza yafuatayo!
Kadiri ya mapokeo ya Kanisa, tarehe 14 Februari inahusishwa na kumbukumbu ya Valentine, ambaye alikuwa kasisi aliyeishi katika karne ya tatu.
Hadithi ya kasisi Valentine inasema kwamba alikamatwa na kuuliwa kwa sababu ya kuendelea...
https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj
Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
Katika siku chache, Jana tarehe 24.1.2025, wakuu wa wilaya wapya wamepata nafasi ya kuteuliwa, kuongoza wilaya mbali mbali nchini.
Hata hivyo, ni muhimu kuchukua hatua za tahadhari ili kuhakikisha ufanisi wa uongozi wenu.
1. Mwangalizi wa Makatibu wa CCM:
Makatibu wa CCM wa wilaya ni watu...
Once in a life time!
Watazamaji na mashabiki wa anga wanatazamiwa kupata burudani ya kipekee ya angani kwani sayari sita - Mihiri, Jupita, Venus, Zohali, Neptune, na Uranus - zote zitaonekana angani usiku.
Bila shaka, utaweza pia kuona tukio hili usiku wa leo, kwani sayari zitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.