Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana.
Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂
Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30...
Ndugu zangu,
Kuna tabia ya siku hizi ya wanawake kupenda kuvaa suruali. Kiukweli sio vazi baya ila kuna baadhi yao linawadhalilisha kwenye jamii. Mtu katoka kukutana na mwenza wake kimwili then kavaa suruali iliyobana bila hata mtandio wa kumstiri ni aibu. Nawasanua tu. No malice to anyone.
Wanaume kweli tume amka japo bado wapuuzi wachache.
Nikiwa mtandaoni nakutana na post hiyo hiyo hapo kwenye picha chini.
Nikakutana na koment ya kiume ikisema
"Ongezea pointi moja na huyo mwanamke akae nyumbani maana manufaa ya kazi yake ni hamna"
Basi kwenye hiyo koment kukawa kimejibiwa...
Pasaka na eid wake zimepita kibabe na kutuachia majeraha mifukoni kila unayethubutu kumpiga kizinga anakutolea nje visingizio vikiwa ni ada,kuumwa na mvua.
Bado una nafasi ebu nenda kafanye ukaguzi kwenye mikoba na mabegi na nguo zako huenda ukabahatika Kama ambavyo mimi leo Mungu hajanitupa...
Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri.
Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni.
Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
Hizi kauli za huyu anatumia muda na pesa kujiremba, wakati ulimkuta anapendeza na unajua kupendeza huko gharama nadhani ni kupotoka kutaka kumbadilisha....; Fulani kila siku anatumia muda kuangalia mipira wakati ulimkuta kwenye mpira ulivyomsindikiza rafiki yake.....; Kwamba hajui kutafuta...
Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani.
Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake...
Kutokana na kuporomoka kwa maadili hasa kwa vijana katika maeneo mengi nchini, uongozi wa Kijiji cha Olevolosi, Kata ya Kimnyaki wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha umeweka sheria ndogo mbalimbali na kupitishwa na mkutano mkuu wa kijiji.
Miongoni mwa yaliyopitishwa ni pamoja na kupiga marufuku...
Baada ya ubishani wa watani wa Jadi kupamba moto kuhusu timu ipi hasa imeshawahi kucheza Fainali ya Michuano ya Afrika. Wadau mbalimbali wanaibuka kutoa uthibitisho kutetea hoja zao.
Mashabiki wa Simba wameleta video hii ya Tundu Lissu akifafanua kuhusu mwaka 1993 kwenda uwanjani kushuhudia...
Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri.
Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu?
Pili, nikajiuliza mbona watu wa...
Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
WAZAZI na walezi jijini Mbeya, wamepokea kwa mikono miwili, maamuzi yaliyotolewa na serikali, kwamba wanafunzi wa shule za umma, wasichana na wavulana waanze kuvaa suruali, kutokana na mazingira ya Mkoa huo uliopo nyanda za juu Kusini, kuwa na baridi kali.
Hayo yameelezwa na baadhi ya wazazi na...
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu na nimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.
Sasa nilipo fika nilimkuta kibarazani anapika aliponiona tu akahamaki uzuri mlango wa chumba chake ulikuwa wazi mimi...
Ndugu Zangu Nimeanza Kufanya Biashara Ya Kuuza Suruali za Mtumba Kutoka Dar Naenda Kuuza Moro - Dodoma.
Naombeni Mawazo ya Kukuza Biashara Yangu Kwa Wazoefu Wa Hii Kazi.🙏🙏🙏
Niwe Nafanya Nini Au Niongeze Nguo Za Aina Gani Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Naombeni Maoni Yenu Wadau.🙏🙏🙏
Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho.
Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana.
Ninaomba kufahamishwa wandugu
Igwee!
Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa...
Wakina kaka wanahamaki wanapokumbuka pesa zao kwenye mifuko ya suruali. Zile pesa huwa tunabadilishia menu nyumbani na kujilipa kwa kazi ya udobi.
Mbona mna kuwa wapole tunapokuta condoms mifukoni?
Habari wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimezaliwa kijijini na kukulia huko. Mjini wa mara ya kwanza nilikuja kwaajili ya masomo.
Pamoja na kwamba kazi yangu inanilazimu kuvaa kistaarabu, bado nahisi sijafikia vile viwango ya kuwa "gentleman" na natamani sana kutupia pamba kama baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.