Songea is the capital of Ruvuma Region in southwestern Tanzania. It is located along the A19 road. The city has a population of approximately 203,309, and it is the seat of the Roman Catholic Archdiocese of Songea. Between 1905 and 1907, the city was a centre of African resistance during the Maji Maji Rebellion in German East Africa. The city is poised to experience significant economic growth in the near future as the Mtwara Corridor opens up in a few years.
area was a restricted zone and occasionally suffered aerial attacks by Portuguese forces. Its remoteness until 1985 when a new British funded road was opened linking it northwards to the road and rail hub of Makambako.
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenze ambaye ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, pia ni mhariri na mwanachama wa Jukwaa la Wahariri, TEF, niko hapa ukumbi wa Bombambili Songea, mkoani Ruvuma, kuwaletea live ya Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani.
Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel...
Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki.
Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu kupita na kufanya shughuli zao nyingine kutokana na matope, uchafu na mvurugano uliopo...
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan manispaa ya Songea iliyopo mkoani Ruvuma imenufaika kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye zaidi ya shilingi bilioni 188 katika kata 21 zinazounda manispaa hiyo.
Akieleza...
Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja kutokana uwepo wa athari unaopelekea ushindani usio na sababu
Wilman ametoa ushauri huo katika Mkutano...
"Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo ambayo hamjawahi kuyafikia, lazima muwe na ajenda," - Haya ni maoni binafsi ya Mohamed Kudeka
Kupata...
Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika jimbo hilo.
Kanali Abbas ametoa kauli hiyo mbele ya wananchi wa Kata ya Subira, Manispaa ya Songea...
RUVUMA: Mkuu wa Wilaya, Kapenjama Ndile amesema uwepo wa mifugo mingi kupita kiasi umekuwa ukiathiri kilimo na kuathiri mazingira Wilayani hapo na kuwa hali hiyo inachangiwa na rushwa inayosababisha uingizwaji wa mifugo kinyemela
Ameeleza hali hiyo inatokana na kukithiri kwa Rushwa ambayo pia...
Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku.
Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
WAZIRI wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewatembelea na kuwafariji waathirika wa mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo JAnuari 3, 20255 katika Manispaa ya Songea Mjini mkoani Ruvuma na kuathiri Kaya zaidi ya 50.
Waziri Ndumbaro amewataka waathirika hao...
MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA
Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao kwa uongozi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, iliyopo Manispaa ya Songea mjini.
Mhe. Ndumbaro...
Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la Songea Mjini
"Mapema Desemba 27, 2024 hapa manispaa ya Songea Mjini nikiambatana na Kamati ya Mfuko wa...
Awali, Mdau wa JamiiForums.com alilalamikia utendaji kazi wa TASAF Wilaya ya Songea. Alidai Moja ya changamoto ambayo imekuwa ikitokea ni baadhi ya wahusika kuondoa wanufaika kwenye mfumo kwa vigezo kwamba anajimudu kiuchumi, jambo ambalo halina ukweli.
Mdau aliongeza kwamba, Kuna watu ambao...
Uamuzi wa Serikali kupeleka Mradi wa Kusaidia Kaya Masikini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni uamuzi mzuri, wamefanya vizuri kupeleka mpango huo kwenye Halmashauri ila kuna changamoto kubwa kwa wasimamizi wa mfuko wamekuwa na utata sana kwa walengwa wanaopokea pesa kutoka TASAF...
Leo Novemba 27,2024 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akiwa ameongozana Mkewe Bi.Riziki kwa pamoja wameungana na Watazania Wengine kushiriki katika zoezi la kupiga kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kituo Ofisi ya Kata Namba Moja kilichopo Mtaa wa Mahenge Manispaa ya Songea ...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Mhoja, ametoa taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi ulio karibu kufanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Mhoja amesema kuwa hali ya utulivu inaendelea kutawala katika mji huo na kwamba kampeni za uchaguzi zinaendelea kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.