samizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    LGE2024 Mbunge Samizi achanja mbuga kunadi Wagombea wa CCM Muhambwe

    MBUNGE SAMIZI ACHANJA MBUGA KUNADI WAGOMBEA WA CCM MUHAMBWE. Apita mguu kwa mguu Kata za Mkabuye, Rugongwe, Busagara kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuchanja mbuga kuwaombea kura na kuwanadi wagombea wa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Florence Samizi Agawa Mitungi ya Gesi 200 kwa Maafisi Upishi 200 Muhambwe

    DKT. FLORENCE SAMIZI AGAWA MITUNGI YA GESI 200 KWA MAAFISA UPISHI 200 MUHAMBWE. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence George Samizi amehamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 Novemba, 2024. Katika kuuunga mkono kazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. B

    Dkt. Samizi aadhimisha mitatu ya mama kwa kuzindua magati ya maji- Kibondo, wiki ya maji

    Alhamisi 21 Machi, 2024 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Dkt. Florence George Samizi amezindua Mradi wa Maji Safi na kisima Cha Maji katika eneo la Malagarasi na Gati la Maji Stendi ya Mabasi katika Uzinduzi wa Wiki ya Maji ambayo inaenda sambamba na Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  4. B

    Dkt. Samizi ashiriki harambee ujenzi wa Kanisa Jimboni

    Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuwa mstari wa mbele kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kijamii katika Jimbo lake la Muhambwe mkoani Kigoma na wikendi hii Jumapili alishiriki misa takatifu iliyoendeshwa. Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Kigoma, Joseph Mlola kisha kushiriki...
  5. B

    Dkt. Samizi atua shule ya wenye uhitaji maalum kushusha furaha

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Dr Florence George Samizi, Jana tarehe 26/9/2023 ametembelea shule ya Msingi Nengo iliyopo Kata ya Biturana Wilaya ya Kibondo yenye watoto wa Mahitaji Maalum akiongozana na diwani viti maalum tarafa ya Kibondo Mwanne Kihemo, diwani Barinabas Shedrack Baranzila na...
  6. B

    Dkt. Samizi ashiriki kupokea madawati 50, washuhudia mamilioni ya Rais Samia ujenzi wa shule

    Jana Jumatatu Septemba 25, 2023 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Col. Aggrey Magwaza pamoja Mkurugenzi wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio katika mapokezi ya madawati 50 yenye thamani ya milioni tano kutoka...
  7. B

    Pre GE2025 Dkt. Samizi aungana na wanamichezo kusaidia wenye uhitaji na kumuunga mkono Rais Samia

    Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa tawi la Yanga SC pale Mukabuye. Uzinduzi wa tawi hilo la Yanga SC umekuwa na shangwe na umati mkubwa...
  8. B

    Muhambwe wampa 5 Rais Samia mradi wa maji wa milioni 650, mbunge atoa kompyuta na mashine ya photocopy

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kufanya mikutano ya hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo leo alikuwa Kata ya Misezero Kijiji cha Kumkugwa. Wananchi wa Kumkugwa wameonyesha kufurahia mno na kumshukuru Rais Samia...
  9. B

    DKT. Samizi amshukuru Rais Samia kumtua Mama ndoo kichwani Muhambwe

    Jana Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kukagua miradi ya maji ambapo Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Maji kwa namna wanavyofanikisha kumtua ndoo kichwani Mama na Wananchi wa Muhambwe. Kwenye...
  10. B

    Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kufanikisha kuanza kwa ujenzi wa VETA Muhambwe

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa adha ya muda mrefu ya Vijana na Wananchi wa Muhambwe kukosa Chuo cha Ufundi na hivyo kupata shida kupata mafunzo stadi hayo maeneo mengine. Katika kuhakikisha watu wetu...
  11. B

    Dkt. Florence Samizi ahoji wakulima kudhulumiwa

    Dkt. Florence Samizi Mbunge wa jimbo la Muhambwe, aunguruma bungeni akichangia Wizara ya Kilimo na akitaka hatua za serikali kwa makampuni yanayodhurumu wakulima fedha za mazao yao. ====== Waziri Bashe ajibu kuwa serikali imeanza kuchukua hatua za kisheria kwa kukatwa fedha kwa baadhi ya...
  12. B

    Dkt. Samizi akomaa na mradi wa maji uliokwama wa Kifura, sasa kuanza kutoa huduma Agosti 31

    DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete kuwasemea wananchi wake pamoja na kutatua kero zao ili kusukuma maendeleo yao ambapo sasa amekomaa...
  13. B

    Mbunge Samizi atimiza ahadi ya kuchangia saruji ujenzi wa zahanati na shule ili kumuunga mkono Rais Samia

    MBUNGE SAMIZI ATIMIZA AHADI YA KUCHANGIA SARUJI UJENZI WA ZAHANATI NA SHULE ILI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA. Dkt. Florence George Samizi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Jana Jumamosi Aprili 29, 2023 ametimiza ahadi yake ya kuchangia shughuli za maendeleo kwa kuchangia mifuko...
  14. B

    Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kwa kuwapatia gari la kusimamia elimu Jimboni

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Jimbo lake la Muhambwe gari kwa ajili ya usimamizi wa maendeleo ya elimu ya sekondari. Gari hilo limeshakabidhiwa Jimboni tayali kwa usimamizi wa elimu...
  15. B

    Dkt. Samizi achangia Bungeni, aiomba Serikali kutatua kero Jimbo la Muhambwe

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amechangia Bajeti ya Wizara ya TAMISEMI Bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine ametoa hoja mbalimbali kwa ajili ya kutatua kero na kusukuma maendeleo Jimboni kwake. Kwanza; Dkt. Samia amempongeza Rais...
  16. B

    Mbunge Samizi achangia ujenzi wa msikiti wa ghorofa Kibondo, Waumini wamtaja Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo tarehe 07/04/2023 amemtuma Katibu wake Bi. Dorice Nsekela kumwakilisha kwenye msikiti wa Ijumaa na wa wilaya ya Kibondo ambapo alifanikisha kutoa ahadi aliyoahidi ya kuchangia seruji mifuko 50. Pia, Mbunge wa Njombe...
  17. B

    Dkt. Samizi aendelea na ziara Jimboni, achangia ujenzi wa vyoo, chumba cha kujifungulia kinamama n.k

    DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali Jimboni na kuchangia fedha ujenzi huku akisikiliza kero za...
  18. B

    Dkt. Samizi afanya ziara Jimboni, achangia zaidi ya Milioni 3 Ujenzi wa nyumba ya Mganga wa Kituo cha afya

    DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza...
  19. B

    Dkt. Samizi amshukuru Rais Samia kutafuta fedha za ujenzi wa barabara ya Kibondo-Mabamba

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amesema Rais Samia ameweka historia nyingine jimboni kwake kwa kufanikisha kutafuta fedha Bilioni 63 kuanza ujenzi wa barabara kubwa ya kiuchumi kutoka Kibondo- Mabamba inayokwenda kuunganisha mkoa wa Kigoma Kagera na...
Back
Top Bottom