Salaam,
Kwanza nianze kwa kumpongeza Aweso kwa namna anavyopambana kuhakikisha maji yanafika kwa wananchi ili kuyafikia malengo ambayo chama na serikali wamejiwekea.
Licha ya haya mapambano ambayo wazari anapambana kuhakikisha maji yanasambaa kwa wananchi, yanayoendelea huku kwa watendaji wako...
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi.
Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika...
Habari zenu Wana jukwaa la JamiiForums
Kwanza napenda kuipongeza serikali kusimamia utekerezaji wa ujenzi wa bwawa hili kubwa nchini la kufua umeme na kutoa fursa za ajira Kwa vijana wengi wa kitanzania
Lakini mradi unapoelekea kumalizika kumetokea tatizo kubwa sana la urasimu upande kupata...
Tumekuwa na taifa la ajabu hasa kwenye waandishi wa siku hizi.
Hakuna hata blog mmoja au youtube channel ambayo ni ya rushwa! Wakati ndiyo kitu kikubwa sana wananchi hawakipendi. Tume baki kuangalia tu idadi ya wanawake wa wasanii! 🤔 na umbeya kila siku
Nashauri wana habari tengeni muda na...
Tanzania kama nchi tujiulize ni kwanini suala kubwa na linalohusu wengi kama rushwa liachiwe Rais pekee.
Yaani suala la rushwa linabidi liwe la kimfumo na sio la kiongozi mmoja tu wa nchi.
Watanzania inabidi sisi tutoe tu mawazo na kupiga kelele kwenye rushwa na tutake majibu. Mfano kama huna...
Ili kukabiliana na rushwa ya ngono na mfumo dume katika vyumba vya habari, wadau wa habari wameshauri kwamba kila chombo cha habari kinapaswa kuwa na dawati la jinsia.
Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano uliofanyika Desemba 16, 2022, jijini Dar es...
Leo majira ya saa 5.20 asubuhi nikiwa ndani ya daladala la Mbweni-Mawasiliano no. T 166 EAD, tulipofika Mwenge mataa askari wakawapungia mkono ili wasimame pembeni. Kisha konda akachukua hela akampa dereva akawapelekea askari wakaipokea tukaendelea na safari.
Najiuliza mbona sijawahi kusikia...
Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU.
Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM.
Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January?
Alihakikisha kuwa pesa za umma...
Kwa mtazamo Wangu CCM wanahitaji kujitafakari pakubwa saaaana. Na kama Wana CCM hawataamka na kutetea Chama Cha Mambuzi, wataendelea kudharaulika.
Huwezi kuandaa mkutano wa mabilioni huku ukiacha mkutano huo utawaliwe na Vijembe, Mizaha na Rushwa. Je, mlienda Dodoma kusimangana?
Mnaanza...
Licha ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi, na January kufeli kabisa kwenye umeme, uashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu!
Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha hawa vijana.
Kumekua na kawaida ya maamuzi yenye utata ambayo yanainufaisha timu moja au timu kuwa katika kiwango duni sana siku ya mechi na kupelekea kufungwa kirahisi sana vitu ambacho vinahusishwa sana na rushwa
Unakuta coastal union anaikazia azam na kufungwa kwa mbinde sana alafu mechi ijayo anapigwa...
Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM.
Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila...
Kwanini haya masuala yamerudi kwa kasi kwa hawa watoa huduma?
Mbona mengine hata hayaitaji fedha kutasimamia lakini wananchi wanakumbana na hii janga la kudharauriwa, kunyanyapaliwa, kukejeli, kutojaliwa na wala kutoheshimiwa... na ukitaka ukwepe hayo yote basi TOA RUSHWA..
Tunaenda wapi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.