Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa.
Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...
Kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya miaka 25 tangu kifo cha Mwl Nyerere uwanja wa CCM Kilumba Mwanza.
Prof. Lipumba pamoja na viongozi wengine wa vyama vidogo vidogo vya upinzani nchini, wakiongozwa na Prof. Lipumba walionesha kutoa sura ya tabasamu pale...
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi.
Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa...
Wanabodi,
Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya washiriki wa event hiyo
Face2Face ya leo ni c̅ M/Kiti CUF, Prof. Lipumba - "Nina Matumaini Makubwa na...
BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..."
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde
=======
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka...
Kuna wakati Prof Lipumba alipigwa Kwenye harakati za kisiasa anafungwa pop mikononi, kila alipokwenda alikuwa anautanguliza ule mkono Watu wauone na hakuna aliyemlaumu.
Kifungo cha mzee Mandela gerezani lilikuwa mtaji na sifa kuu ya yeye Kuchaguliwa kuwa Rais wa SA.
Ni ama Prof Lipumba hajui...
Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote. Kitakachotumia rasilimali za nchi yetu kukuza uchumi unaoongeza ajira utakaowapa na kuwanufaisha...
Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze.
Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka wataitumia fursa hii ya mikutano ya hadhara ili kuimarisha vyama vyao.
Hongera sana Full Professor in Econometrics Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako.
NB: Naambatanisha na tasnifu (PhD Thesis) yake ya shahada ya Uzamivu.
Prof. Ibrahim Lipumba leo ameuelezea uchaguzi wa 2020 akiwa kwenye mkutano ulioandaliwa na TCD. Lipumba ametolea mfano Pemba ambako CCM walikuwa hawapati viti lakini 2020 wakabeba viti 12 ilhali Tanzania bara kati ya viti 214 upinzani uliambulia viti viwili pekee mpaka Unyanyembe wakaja na...
Huyu ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Rais chini ya Rwekaza Mukandala, Anaitwa Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF.
Jionee mwenyewe
"Mimi nilikuwa mjumbe kwenye mkutano uliofanyika Dodoma na hakuna mjumbe hata mmoja aliyesema mchakato wa katiba usubiri hadi mwaka 2025. Baraza...
MWENYEKITI WA TAIFA ACT WAZALENDO JUMA ‘’BABU’’ DUNI HAJI: NINAVYOMKUMBUKA
Kuna kitu katika haiba nzima ya wanasiasa walio katika upinzani Zanzibar ambacho ni tabu kukieleza kwa maneno haya yetu ya kawaida.
Kuna picha kila nikiiangalia machozi yananilenga.
Ismail Jussa yuko kwenye...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGPSimon Sirro kuitafuta saa yake ya mkononi aliyonyang'anywana askari wake wakati wa mvutano ulioibuka karibuni.
Akizungumza na wanachama wa chama hicho na wananchi mkoani Tabora, Lipumba...
Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima.
Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao.
Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia.
Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu...
WANACHAMA na viongozi wa chama cha Wananchi CUF Zanzibar wamemtaka kiongozi wa chama hicho Prof. IBRAHIM LIPUMBA kuwaachia chama Chao ili kukinusuru na hali mbaya inayokikabili kutokana na kile walichokiita 'Usaliti wa Lipumba kwa chama hicho'.
Wamesema kutokana na mwenendo wa vitendo vyake...
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba asema Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ni amiri jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, halafu tarehe 23 Julai 2021 Freeman Mbowe akakamatwe kwa ugaidi wa mwaka 2020.
Maana rais kila siku...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe.
"Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.