ndugu wa damu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  2. BARD AI

    Wimbi la ndugu wa damu kuhusiana kimapenzi linaongezeka au uwazi umeongezeka?

    Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea kushika kasi kwenye jamii. Hii inahusisha ndugu wa damu, ndugu wa familia au ukoo na hata baba na...
  3. JanguKamaJangu

    Simiyu: Ndugu wa damu wahukumiwa Miaka 20 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama Mume na Mke

    Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu. Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa...
  4. realMamy

    Hakuna chuki mbaya kama ya ndugu wa damu. Je, wewe imewahi kukutokea na ulitatuaje hili tatizo?

    kumekuwa na Kesi nyingi za kaka na dada, mama na mtoto, baba na mama yani ni hatari. Inafikia Hatua hadi wanatamkiana maneno mabaya. Kesi nyingi Mahakamani ni za ndugu aidha wakigombea mirathi, Ardhi au mambo mengine. Tumalize Chuki na tujenge Umoja ili shetani asipate nafasi.
  5. U

    Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa. Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame na Waziri Mkuu wa Ethiopia Dr. Abiy Ahmed pamoja na nyinginezo kwa rejea yako Usiku mwema
  6. under timer

    Kati ya ndugu wa damu au asiye wa damu yupi wa kushirikiana nae ktk ujasiriamali

    Natumai mko vizuri kiafya, nina kiduka cha bidhaa mchanganyiko kama dona, mchele, mayai, pipi mixer mafuta nauza rejareja na mungu anajalia angalau riziki kidogo naipata. Sasa kuna ndugu nashirikiana nao maana mie ni kijana mwepesi leo utanikuta dukan kesho namwachia shemeji wa kiume apige...
  7. K

    Tafiti zinaonyesha wanawake wanaopata mimba kutoka kwa ndugu wa damu, wao na watoto wao wanatengwa

    Tafiti zinaonyesha Wanawake wanakosa uamuzi wa kuendelea kulea mimba isiyotarajiwa hasa zile zitokanazo na maharimu (kujamiiana na ndugu wa damu) kwani jambo hili halikubaliki na jamii nyingi za Kiafrika. Pia watoto waliopatikana kwa mazingira haya hutengwa na kubaguliwa (Rosemary B. &...
  8. Z

    China na Tanzania siyo tu marafiki bali ni ndugu wa damu

    Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini siyo tu raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi. Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi. wasiojua historia ndiyo watashangaa, lakini China siyo tu rafiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu. Mungu ubariki udugu...
Back
Top Bottom