naomba ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba Ushauri Kwa Huyu Msichana Nimefanya Kosa Au Ni maringo yake tu

    Ebwaana Eeh Kilichonikuta jana Kabla ya mkesha wa Xmass Ni balaa! Kuna kimchepuko kimoja nilikipenda kutokana na kuwa ni kizuri sana na kina umbo zuri sana nikaona sio mbaya nikitongoze.. Mtoto yule nimemtongoza Ila akawa ananitolewa nje ooh Mimi nakupenda sana ila ningependa tuwe kama kaka na...
  2. Naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitenge hususani jijini Dar es Salaam

    Habari Wana JF Naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitenge hususani jijini Dar es Salaam.
  3. D

    Naomba ushauri nisome programming language gani?

    Wataalamu wa computer nimepata wakati mgumu nilipo taka kujifunza programming language kwaajili ya kutengeneza android+iOS app, desktop app, games na website nilishauriwa nianze na C programming . Kwa Sasa nimemaliza ila napata wakati mgumu kwani language zipo nyingi na ambayo ni the best...
  4. M

    Application yangu hii hapa kwa sasa ni ya android ipo testing naomba ushauri wako..

    Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
  5. Mwanaume wangu hataki kufanya kazi. Mimi ndiyo na mlea na mtoto wangu, naombeni ushauri wenu

    Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25 Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga...
  6. J

    Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili. Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu ya mgongo upande wa kushoto, chini kidogo. Hali hii inanipelekea kutoshika vizuri kwa muda mrefu...
  7. Naomba ushauri, Mimi nimgeni kwenye kilimo cha kahawa

    Salaam wadau, Mimi ni mgeni kwenye kilimo cha kahawa nimeamua nilime kahawa kama sehemu ya kujiwekeza kupitia kilimo.nauliza zipi changamoto za kilimo cha kahawa na zipi ni faida za kilimo cha kahawa? Nawasilisha
  8. Naomba ushauri wa kununua gari used ndani ya nchi

    Habarini wana jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu. Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari. Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
  9. K

    Naomba ushauri

    Mwanangu amemaliza darasa la saba na amepata alama hz Ana c moja tu D nne Na e moja Naomba walimu mnijuze km kuna uwezkano wa huyu dogo kupangiwa shule na selikali
  10. Naomba Ushauri mtoto awe "anapata ufaulu mzuri" Je, nifanyaje?

    Naomba kujua kutoka kwa wazazi wenzangu ambao watoto wenu wanapata matokeo bora, siri ama mbinu gani mnatumia hapo nyumbani mtoto afaulu? Nawasilisha
  11. A

    Naomba ushauri, nijenge nyumba Dar au Mkoani - Mjini?

    Wakubwa, Naombeni ushauri wenu kuna hili jambo linanitatiza. Nina FEDHA kiasi cha 25 mill. Lengo langu ni kujenga nyumba - kwa ajili ya kupangisha tu, maana tayari nina makazi ya kuishi. Nawaza kununua uwanja mkubwa kwa hiyo FEDHA yote 25 million ili angalau nipate square mita za kutosha...
  12. M

    Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  13. E

    Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

    Salaam, Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia. Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu. Karibuni kwa mawazo, asanteni.
  14. S

    Nataka kuanzisha show ya live stand-up comedy, naomba ushauri wenu

    Sijui kama jukwaa hili linafaa kwa aina huu ya uzi ila kama mods wataona hapa siyo mahala sahihi basi waupeleke pale panapostahili. Nataka kuanziasha show ya live stand comedy, mfano wa cheka tu au watu baki. Kwa upande wangu nimejipima nimeona naweza kufanya kitu na watu wakakipenda...
  15. Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  16. M

    Naomba ushauri kuhusu uagizaji magari kutoa Japan au Afrika Kusini

    Habari wadau! Mimi ni transport Manager wa shule moja hapa nchini,tunahitaji Magari mengi madogo na makwa kwajili ya kubeba wanafunzi. Swali langu kati ya hizi nchi mbili wapi nitapata Magari yenye ubora kwa bei rahisi? 1. South Africa 2. Japan KUHUSU MAKAMPUNI YA UGAIZAJI. Tunataka hii...
  17. JAMANI NAOMBA USHAURI HAPA

    samahani wana jamii forums, ndugu yangu amehitimu veta katika fan ya ujenzi level 3, sasa anaomba ushauri Aendelee kutafuta deploma ama aende kusomea vocational assistance teacher. maoni yenu jamani 🙏
  18. Kwa mtaji wa million 1 nifanye biashara gani?

    Habari zenu wana JF? Matumaini yangu hamjambo Kabisa. Mimi naomba ushauri wenu. Nina mtaji wa millioni moja. Nipo Dar es Salaam. Ni biashara gani inafaa kwa mtaji huo. Kichwani, nilikuwa nawaza kufungua movie library mtaani ila nikasema ngoja nisikie mawazo ya wengine. Asanteni, nishaurini...
  19. Kazini kwangu ninaowasimamia hawanisikilizi, naomba ushauri

    Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi. Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini Majibu yao...
  20. Naomba ushauri kuhusu ofa ya mshahara

    Wakuu hope mmeamka salama. Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi tunalipana kwa % yeye anachuka 40% mimi nachukua 60% na pia kaniamini kwa kiasi kikubwa sana na kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…