Ni jambo la kawaida kutaka kuwa mgeni mzuri (yaani mgeni atakaye pendwa na mwenyeji). Takwa la kumfurahisha, kumridhisha au kutomkwaza hutujaa pale tunapokubali mualiko wa mlo wa usiku au kwenda weekend kwa rafiki alieko tabata au kwenda likizo kwa bibi alieko Mwanga, Kilimanjaro au hata...