namna nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Ushauri juu ya Namna Nzuri ya Kujenga Nyumba kwa ajili ya Kupangisha tu

    Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza maisha - mfano, mke na mme au mke mme na mtoto mmoja. Je, naweza kujenga nyumba ya kupangisha kulenga...
  2. G5bajuta

    SoC04 Serikali iangalie namna nzuri na madhubuti ya kubaresha mtandao unaosuasua hususan na kuchunguza eneo ambalo lina shida katika utoaji wa huduma

    Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao. Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani...
  3. MTINGIJOLI

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki. Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili...
  4. O

    Kukokotoa faida na hasara kwenye biashara ya jumla na reja reja na namna nzuri ya kuuza

    Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa. Kuna hizi bidhaa hapa Bidhaa zinazokuwa kwenye package moja ila zinauzwa moja moja labda ndani ya package ziko mia na...
  5. Radium

    Namna nzuri ya kuwa mgeni!

    Ni jambo la kawaida kutaka kuwa mgeni mzuri (yaani mgeni atakaye pendwa na mwenyeji). Takwa la kumfurahisha, kumridhisha au kutomkwaza hutujaa pale tunapokubali mualiko wa mlo wa usiku au kwenda weekend kwa rafiki alieko tabata au kwenda likizo kwa bibi alieko Mwanga, Kilimanjaro au hata...
  6. Alexander von Humbolt

    Namna nzuri ya kuingia kwenye Siasa na Uongozi

    Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania........ Naamini wengi wetu tuko salama na tunaendelea kupambana na maisha. Karibuni kwenye mada tusaidiane mawazo ikiwa ni elimu kwangu mleta mada, lakini pia fundisho kwa wengi wetu tunaopenda kujishugulisha na siasa na uongozi. Mimi ni...
  7. JOHNGERVAS

    Namna nzuri ya kutumia Marketing sms (bulk sms)

    SALAM WAKUU Naomba mwenye kufahamu mfumo unaoweza kutuma sms kwa kufuata Location. Mfano kama ilivyo BULK SMS unatuma sms kwa watu wengi kwa Pamoja ukiwa umeweka namba za watu unaotaka kuwatumia sms Sasa nauliza hivi hakuna Mfumo unowezesha kutuma sms kwa location Fulani tu, Yaani kama nataka...
  8. Merci

    Namna nzuri ya kutatua changamoto ya machinga na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara na maeneo yasiyo rasmi

    Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi. Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
  9. FARAJI ABUUU

    Namna nzuri ya kuandaa watu watakaosimamia misingi ya Utawala Bora

    Ukiangalia katika jamii zetu hata kwa baadhi ya wanaharakati wa mambo mbalimbali wanapotaka kufanya jambo ambalo wanaona lina tija kwao au kwa jamii zao wanataka wafanikiwe kwa muda mfupi bila kupima uzito wa jambo lenyewe na namna nzuri ya kulielekea jambo hilo. Kawaida unapotaka kurekebisha...
Back
Top Bottom