muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. KING MIDAS

    Hobi yako hiyo unayopoteza nayo muda, inawezaje kubadilisha maisha yako?

    Mvulana Aliyependa Kusoma Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
  2. Wakusoma 12

    Hivi mpaka muda hii hakijaeleweka tu? Idd ni lini?

    Wakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
  3. Minjingu Jingu

    Tuombeeni mpaka muda huu hatujaweza kulala hali ni mbaya

    Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja. Shida nini sasa? KWa huruma tu nlimshauri kuwa haina haja ya yeye kulipia Hotel wakati mimi nipo na nina uwezo wa kulipia.atunze pesa zake nitatumia...
  4. Abraham Lincolnn

    Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kutengeneza filamu ambayo haipo hata top 20 Netflix,Youtube wala popote ni upotevu wa rasilimali fedha na muda

    Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii. Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya kutumia watu mashuhuri hapa nchini katika kutangaza na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka ndani...
  5. Mr Why

    Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu

    Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu Ulitokea mgogoro wa muda mrefu kati ya mpwa na mjomba wake huku chanzo cha mgogoro huo kikisababishwa na tabia ya mjomba wake kung'ang'ania mali za mama yake https://www.facebook.com/share/v/1Zh6RTrPM5/
  6. deburney

    ADHA YA MAGARI YA MWENDOKASI KUACHA ABIRIA MUDA MREFU NYAKATI ZA ASUBUHI KWENYE VITUO NA KUPITA MATUPU ILHALI USAFIRI NI WA SHIDA INATUKERA SANA ..

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
  7. Mowwo

    Kuna muda hoja ya kujivunia kua muislam au mkristo haina mantiki yoyote

    Wakuu Nimekutana na mambo mengi ya watu kujivunia dini yao. Nikakutana na swali la kuuliza jukwaa. Mkristo anaekula kitimoto/nguruwe anaruhusiwa kumchangia Muislam Damu? Wakati wa zoezi la kuchangia damu wanazingatia hili? Note: Damu inayochangwa na watu bila kujali dini zinasave maisha ya...
  8. M

    Kitambulisho changu cha uraia kinaisha muda kesho. Je, ndio kusema uraia wangu unaisha muda pia?

    Kuanzaia kesho naanza kuhesabika kuwa mimi sio raia wa Tanzania? Hii imekaaaje kisheria zaidi?
  9. Mkoba wa Mama

    Muda wa matumizi ya ving'amuzi vya TV kwanini usihesabiwe kwa siku halisi za kutazama?

    Kwa mfumo wa sasa wa malipo ya ving’amuzi vya TV, kifurushi cha mwezi hukatika baada ya siku 30, bila kujali kama mtumiaji ametazama TV kila siku au la. Hii inamaanisha kuwa hata ikiwa mtu hajaangalia TV kwa muda mrefu ndani ya mwezi huo au hata mwezi mzima, bado atalazimika kulipia kifurushi...
  10. R

    Kwako Dr Jabiri Bakari: TCRA yatoa ufafanuzi kuhusu gharama za vifurushi vya simu...... internet na muda wa maongezi

    Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo hayo kama ulivyosema wewe. HILO NALIACHIA HAPO. LA PILI: Tumelalamikia kuhusu mtu kuweka bando/airtime...
  11. ngara23

    Muda wa wakulima kutajirika umewadia

    Hali ya hewa ya ukame inashawishi kuwa kufika mwezi June kutakuwa na upungufu wa chakula Wakulima wenye nafaka tutakula kuku Kwa mrija😄 Vijana mawinga na wengine wanaojifanya wa mjini njaa zitawauma na chakula mtanunua tu, Nilileta Uzi hapa nikitafuta wateja wa mahindi Nina zaidi ya Tani 10...
  12. H

    Muda wa kutoza maegesho ya magari mijini

    Kutokana na magari kuwa na tozo za kila aina, napendekeza muda wa kutoza gharama za maegesho mijini uishie saa kumi na moja jioni (17h00) Nimependekeza hivyo kwa sababu, malipo hutumika kwa lisaa limoja, inamaana kwa kuishia saa kumi na moja wateja wanakuwa tayari wamelipia hadi saa kumi na...
  13. Setfree

    Acha kupoteza muda wako kuandika nyuzi zifuatazo, utakuwa maskini milele!

    Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai! Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
  14. Uhuru24

    Natamani kujua muda sahihi wa Wakristo kufuturu

    Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima. Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi??? Nipo kariakooo pale...
  15. K

    Tanzania inapoteza muda tungekuwa mbali kama taifa

    Hili sio kwa Raisi Samia pekee ni utamaduni hata wakati wa Kikwete 1. Wakati wenzetu wa South Afica na Kenya wana enda na katiba zao za Dunia ya sasa Tanzania tunapoteza muda . Kikwete aliweka jitihada fake za kisiasa badala ya kujali nchi mwaka 2014 na 2015 kama nchi tumepoteza muda wote huu...
  16. Binti Sayuni03

    Nikisuka sikai muda mrefu kichwa kinaniwasha tatizo litakuwa nini?

    Hili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
  17. L

    Job seeker

    Habari ya muda wanajamii,niende Moja kwa Moja kwenye lengo tajwa hapo juu.mimi ninaujuzi kwenye kampuni zinazotoa mikopo midogo na ya kati(Small and medium sized loans).I offer my services in three different angles: 1.Finance and Accounting. All works concerning accounting and Finance i.e...
  18. Waufukweni

    Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

    Wakuu Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
  19. Eli Cohen

    Sio muda mrefu tu Yemen imetoka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe na madhara bado yapo, ile bado hajapona vidonda huyoo tayari anaanza kurusha ngumi

    Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule. Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
Back
Top Bottom