Mtumba is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,277.The ward is along the main road to Dar es salaam. Residence in this ward depends much on Agricultural activities as well as Animal keeping.
The Wards of District of Dodoma urban -Dodoma Region-Tanzania
Chamwino | Chihanga | Dodoma Makulu | Hazina | Hombolo | Ipala| Kikombo| Kukuyu North | Kikuyu South | Kilimani | Kiwanja cha Ndege (Dodoma)| Kizota | Madukani | Majengo (Dodoma) | Makole | Makutupora | Mbabala | Mbalawala | Miyuji | Mkonze | Mpunguzi | Msalato | Mtumba | Nala | Ng’ong’ona | Nzuguni | Tanbukareli | Uhuru | Viwandani | Zuzu
Jamaa mmoja aliapa kuwa hatakula chakula cha mama nitilie. Alikuwa mfanyakazi mwenye mshahara wa kawaida sana.
Lakini aliweza kula hotelini kipindi chote alipokuwa kazini mpaka alipostaafu kwa hiyari 2017.
Ukijiapiza kuwa kuanzia leo sitatoa sadaka chini ya sh .elfu 10 ndio utaishi hivyo na...
Wadau nahitaji Showcase/display fridge ya lita 300-380, kwa ajili ya biashara..
Nikinyoosha sana mkono Naishia 1.5M, kulingana na Brand na ujazo.
Brands ninazoziwaza ni kati ya
Midea
Haier
Hisense
Westpoint
Bruhm au
Von,
Ninacho omba kujua kwa wazoefu, kuna za mtumba Nyingi tu kama LG...
Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale
Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu
Sket imebak moja 2000 tu
Vitop vishat 1500 tu
Karibuni sana wasap or call 0625056158
Hello naunza nguo nzuri za mtumba magauni sket na toos/vishat vya juu
Magauni reja reja bei kuanzia 5000 hadi 4000 na reja reja magauni 2500 hadi 3000
Tops na vishat nauza reja reja 3000 had 2500 na jumla hei kuanzia 1500 vingine hadi buku tu na vizuri mnoo
karibuni nitaweka mifano apo chini...
Hellow guys unamaliza chuo kazi hamna naomba mnisapport mm kijana mwenzenu
Kama wewe ni mjasiliamali mdogo na unataka kuuza nguo na unataka nikupeleke kutafuta nguo nzuri za mtumba karibu nikuhudumie
Magauni bei inaanzia 500 hadi 4000 tu
Sket kuanzia 500 - 3000
Na tops na shirts ni kuanzia...
Hello dear kwa wadada wanaopenda kupendeza au kama unataka fanya biashara ya nguo usisite kuniagiza mimi nauza vitu vizuri kuanzia tops, dresses na skirts bei poa jumla na reja reja karibuni
Tops bei ya jumla kuanzia 1500 hadi 2000
Skirt bei ya jumla kuanzia 2000 hadi 3000
Vigauni kuanzia 2500...
Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia.
-Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu
Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
Ilikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya father christmas.
Yaani yote ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia hapo hapo, nikapaki tu ndani , yani ikifika kipindi cha siku kuu nagawa kidogo kidogo mingine naacha...
Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali.
Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000
Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm
Ni surveyed pot
Fixed Price
Interested njoo PM
Au
+254746360628 only whatsapp
Ramani ipo kwenye attachment
Karibuni sana vunjabei mtumba grade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 kutoka China Dubai uturuki Canada
Tuna balo za nguo aina zote kama
Gauni jeans suruali Koti blouse skirt tshirt jeans kadeti pens Shati Viatu mabegi pazia shúka
Tunapatikana Ilala boma dar es salaam mtaa wa mwanza...
Wakuu natumai nikwema huku tukiendelea na pilika za kujiandaa na msimu mpya wa Ligi yetu pendwa ya Mpira wa miguu.
Nende moja kwa moja kwenye mada kuwa wapi naweza pata IPHONE nzuri ya mtumba kuanzia 13 na kuendelea.
Ikiwemo gharama zake na hata uwezo wake.
N.B hizi simu hata kama watu...
Wadau,
Naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli.
Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
Habari wakuu?
Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua.
Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya...
Wasalaam wana JF
Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA?
Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.